Mashinikizo ya katiba mpya Tanzania + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i41587-mashinikizo_ya_katiba_mpya_tanzania_sauti
Mashinikizo ya kutaka marekebisho ya kimsingi ya Katiba yameshamiri huku viongozi wa kisiasa, viongozi wa kidini, wabunge na asasi za kijamii nazo zikihimiza sana suala hilo. Mwandishi wa Radio Tehran, Omar Manji ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Mar 12, 2018 05:04 UTC