Rais Yoweri Museveni aahidi kuwapa nafasi zaidi wanawake nchini Uganda + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i41403-rais_yoweri_museveni_aahidi_kuwapa_nafasi_zaidi_wanawake_nchini_uganda_sauti
Serikali ya Uganda imesema kuwa itaendeleza jitihada za kuhakikisha wanawake wanashirikishwa kikamilifu katika maendeleo ya nchi hiyo.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Mar 09, 2018 02:43 UTC

Serikali ya Uganda imesema kuwa itaendeleza jitihada za kuhakikisha wanawake wanashirikishwa kikamilifu katika maendeleo ya nchi hiyo.

Ahadi hiyo imetolewa na Rais Yoweri Kaguta Museveni wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake.

Mwandishi wa Radio Tehran, Kigozi Ismail ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...