Nkurunziza mkuu wa milele wa CNDD-FDD Burundi + Sauti
Mar 12, 2018 06:10 UTC
Kamati Kuu ya chama tawala nchini Burundi cha CNDD-FDD imemtangaza Rais Pierre Nkurunziza kuwa kiongozi wa kudumu ndani ya chama hicho. Hata hivyo upinzani umesema, Burundi inaelekea kusikotabirika. Mwandishi wetu wa Bujumbura Hamida Issa ametutayarishia ripoti maalumu kuhusu suala hilo
Tags