Juhudi za kuimarisha sekta ya habari barani Afrika + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i41591-juhudi_za_kuimarisha_sekta_ya_habari_barani_afrika_sauti
Wadau wa sekta ya habari barani Afrika wamesema kwamba wakati umefikwa kwa vyombo vya habari vya bara hilo kushirikiana ili kuweza kujikwambua kutokana na habari potofu zinazoharibu mustakbali wa Afrika.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Mar 13, 2018 03:10 UTC

Wadau wa sekta ya habari barani Afrika wamesema kwamba wakati umefikwa kwa vyombo vya habari vya bara hilo kushirikiana ili kuweza kujikwambua kutokana na habari potofu zinazoharibu mustakbali wa Afrika.

Mawaziri wa wakurugenzi wakuu wa mashirika ya utangazaji barani Afrika wamesema hayo jijini Kigali, Rwanda ambako ndiko kulikofanyika kongamano lao la siku tano.

Mwandishi wetu Sylvanus Karemera ametuandalia ripoti ifuatayo: