Rwanda yapokea wakimbizi zaidi wa Burundi + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i41405-rwanda_yapokea_wakimbizi_zaidi_wa_burundi_sauti
Rwanda imepokea kwa wakati mmoja wakimbizi wengine zaidi ya 3000 kutoka Burundi.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Mar 09, 2018 02:50 UTC

Rwanda imepokea kwa wakati mmoja wakimbizi wengine zaidi ya 3000 kutoka Burundi.

Wakimbizi hao walivuka mpaka kutoka eneo la Kamanyola la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuingia Rwanda. Wanasema wamekimbia mapigano ili kusalimisha roho zao.

Mwandishi wa Radio Tehran mjini Kigali na maelezo zaidi...