Mkuu wa UNHCR amaliza ziara yake nchini Burundi + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i43030-mkuu_wa_unhcr_amaliza_ziara_yake_nchini_burundi_sauti
Mkuu wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa amemaliza ziara yake ya siku mbili nchini Burundi ambapo amejadiliana na Rais Pierre Nkurunziza suala la kurejeshwa wakimbizi wa Burundi waliokimbila nchi jirani. Mwandishi wetu Hamida Issa ametuandalia ripoti maalumu kuhusu ziara hiyo ya Filippo Grandi nchini Burundi
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Apr 13, 2018 02:16 UTC