Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

shambulizi la kigaidi

  • Watu kadhaa wauawa katika miripuko Maiduguri, Nigeria

    Watu kadhaa wauawa katika miripuko Maiduguri, Nigeria

    Mar 04, 2017 04:12

    Polisi nchini Nigeria imesema watu kadhaa waliuawa katika wimbi la mashambulizi ya mabomu katika mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo jana Ijumaa.

  • Iran yalaani mauaji ya watu 80 katika Haram ya Sufi nchini Pakistan

    Iran yalaani mauaji ya watu 80 katika Haram ya Sufi nchini Pakistan

    Feb 17, 2017 11:29

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana Alkhamisi katika mkoa wa Sindh nchini Pakistan, ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa.

  • 5 wauawa kwa risasi kwenye hujuma dhidi ya msikiti Quebec, Canada

    5 wauawa kwa risasi kwenye hujuma dhidi ya msikiti Quebec, Canada

    Jan 30, 2017 04:08

    Kwa akali watu watano wameuawa katika hujuma ya kikatili dhidi ya msikiti mmoja katika mji wa Quebec nchini Canada usiku wa kuamkia leo.

  • Iran yalaani hujuma ya kigaidi Uturuki, idadi ya waliouawa yaongezeka

    Iran yalaani hujuma ya kigaidi Uturuki, idadi ya waliouawa yaongezeka

    Jan 01, 2017 04:40

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma ya kigaidi iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika mji wa Istanbul nchini Uturuki.

  • 70 wauawa, kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi Instabul, Uturuki

    70 wauawa, kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi Instabul, Uturuki

    Jan 01, 2017 01:08

    Makumi ya watu wanaripotiwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika klabu moja ya anasa mjini Instabul nchini Uturuki.

  • Watu sita wauawa katika shambulio la kigaidi Somalia

    Watu sita wauawa katika shambulio la kigaidi Somalia

    Dec 28, 2016 11:11

    Watu sita wameuawa katika shambulio lililofanywa leo na wanamgambo wenye mfungamano na kundi la kigaidi la al Shabab.

  • 11 wauliwa katika kituo cha jeshi cha upekuzi nchini Burkina Faso

    11 wauliwa katika kituo cha jeshi cha upekuzi nchini Burkina Faso

    Dec 16, 2016 12:21

    Wanajeshi kumi na polisi mmoja wameuawa leo kaskazini mwa Burkina Faso baada ya watu wenye silaha wasiofahamika kukishambulia kituo cha upekuzi cha jeshi.

  • Iran yalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya eneo la kidini Misri

    Iran yalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya eneo la kidini Misri

    Dec 12, 2016 03:52

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulizi la kigaidi lililolenga kanisa moja katika mji mkuu wa Misri, Cairo na kusababisha vifo vya makumi ya watu.

  • Mkuu wa Azhar ya Misri alaani hujuma ya kigaidi dhidi ya kanisa Cairo

    Mkuu wa Azhar ya Misri alaani hujuma ya kigaidi dhidi ya kanisa Cairo

    Dec 11, 2016 23:11

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri amelaani shambulizi la kigaidi dhidi ya kanisa moja mjini Cairo na kuua makumi ya watu hapo jana.

  • Waislamu Nigeria wazidi kushinikizwa na serikali kwa kisingizio cha kuimarishwa usalama

    Waislamu Nigeria wazidi kushinikizwa na serikali kwa kisingizio cha kuimarishwa usalama

    Dec 11, 2016 23:09

    Kufuatia kuongezeka hujuma za kigaidi nchini Nigeria, serikali ya Abuja inatumia kisingizio hicho kuwakadamiza wananchi hasa Waislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS