-
Makumi wauawa katika mashambulizi ya kigaidi Nigeria
Dec 10, 2016 00:26Makumi ya watu wameuawa katika mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Iran yakosoa utendaji wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na vitendo vya kigaidi
Nov 27, 2016 04:09Balozi na Naibu Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amekikosoa kimya cha Umoja wa Mataifa kuhusiana na vitendo vya kigaidi na kulitaka Baraza la Usalama la umoja huo kutekeleza majukumu yake ipasavyo kuhusiana na suala zima la ugaidi.
-
Magaidi washambulia msikiti kwa bomu na kuua makumi Kabul, Afghanistan
Nov 22, 2016 02:51Makumi ya watu wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti wa Kishia katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, wakati wa maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein AS.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi nchini Pakistan
Nov 13, 2016 12:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana Jumamosi katika mkoa wa Baluchestan nchini Pakistan, ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Magaidi washambulia msikiti Kabul na kuua makumi usiku wa Tasua
Oct 12, 2016 04:23Kundi moja la kigaidi na kitakfiri nchini Afghanistan limefanya shambulizi la pili dhidi ya Waislamu wa madhebu ya Shia waliokuwa wamekusanyika msikitini wakifanya maombelezo ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS.
-
42 wauawa na kujeruhiwa katika shambulizi la bomu Libya
Aug 02, 2016 23:27Makumi ya watu wameuawa na kujeruhiwa katika shambulizi la bomu la kutegwa garini lililolenga wanajeshi wa serikali katika mji wa Benghazi, mashariki mwa Libya.
-
10 wauawa katika mashambulizi pacha ya mabomu Mogadishu
Jul 31, 2016 11:48Kwa akali watu 10 wameuawa katika mashambulizi pacha ya mabomu ya kutegwa garini katika makao makuu ya Idara ya Upelelezi mjini Mogadishu nchini Somalia.
-
Magaidi 120 wa Daesh wauawa Afghanistan
Jul 26, 2016 23:30Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wameuawa katika operesheni kali ya jeshi la Afghanistan, katika mkoa wa Nangarhar, kaskzini mwa nchi.
-
13 wauawa katika mashambulizi pacha ya mabomu Mogadishu, Somalia
Jul 26, 2016 12:24Mashambulizi pacha ya mabomu yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 13 karibu na kambi ya Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM na nje ya ofisi za Umoja wa Mataifa katika mji mkuu Mogadishu.
-
Hollande: Tutatumia kila njia kukabiliana na magaidi wa Daesh
Jul 26, 2016 12:19Rais Francois Hollande wa Ufaransa amesema serikali yake itatafanya kila liwezekanalo ili kukomesha kikamilifu mashambulizi na harakati za kundi la kigaidi na kitakfiri la Desh (ISIS) nchini humo.