-
Watu kadhaa wauawa katika miripuko miwili ya mabomu iliyotokea Mogadishu, Somalia
Jul 15, 2023 03:23Miripuko miwili ya mabomu iliyotokea Mogadishu, mji mkuu wa Somalia, imesababisha watu kadhaa kuuawa na kujeruhiwa.
-
Watu 8 wakiwemo watoto 6 wauawa katika mripuko wa bomu Somalia
Jul 10, 2023 08:52Watu wasiopungua wanane wakiwemo watoto sita wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea katika mji wa Bulaburde, jimboni Hirshabelle katikati ya Somalia.
-
Makumi ya magaidi wa al-Shabaab wauawa na askari wa Kenya mpakani
Jul 06, 2023 23:40Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab la Somalia wameangamizwa katika makabaliano makali baina ya wanamgambo hao na askari polisi wa Kenya mpakani mwa nchi mbili hizo.
-
Pande hasimu zakubaliana kusitisha mapigano Puntland, Somalia
Jun 21, 2023 23:08Pande hasimu katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia zimeafikiana kusitisha mapigano na uhasama.
-
Miripuko pacha yatikisa Somalia, kadhaa wapoteza maisha
Jun 21, 2023 08:44Watu kadhaa wanahofiwa kuuawa katika mashambulizi pacha ya mabomu katika mji wa Bardhere ulioko katika eneo la Gedo, kusini magharibi mwa Somalia.
-
Mapigano juu ya mageuzi ya katiba yaua watu 9 Puntland, Somalia
Jun 21, 2023 00:13Watu wasiopungua tisa wameuawa katika mapigano yaliyosababishwa na suala tata la kuifanyia marekebisho katiba katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.
-
Magaidi 19 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab waangamizwa Somalia
Jun 12, 2023 07:46Wanachama wasiopungua 19 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameangamizwa kufuatia operesheni ya jeshi la Somalia katika eneo la kusini la Lower Shabelle.
-
Waliouawa katika miripuko ya mabomu Somalia wakaribia 30
Jun 10, 2023 06:34Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na miripuko ya mabomu katika eneo la Lower Shabelle nchini Somalia imeongezeka na kufikia watu 27.
-
UN: Mapigano yasimamishwe mara moja nchini Somalia
Jun 08, 2023 03:50Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito kwa pande zinazozozana kutia saini makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Somalia likisisitiza udharura wa kuheshimiwa kikamilifu mamlaka, uhuru wa kisiasa na umoja wa ardhi ya Somalia.
-
Museveni: Wanajeshi 54 wa Uganda wameuawa na al-Shabaab Somalia
Jun 04, 2023 08:02Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema makumi ya askari wa Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo (UPDF) waliuawa katika shambulio la wanamgambo wa al-Shabaab nchini Somalia wiki iliyopita.