Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • 17 wauawa katika mapigano baina ya al-Shabaab na jeshi la Somalia

    17 wauawa katika mapigano baina ya al-Shabaab na jeshi la Somalia

    May 30, 2023 12:48

    Kwa akali watu 17 wameuawa baada ya wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab kushambulia kambi ya jeshi katika mji wa Masagawa, katikati ya Somalia.

  • Somalia kuanzisha upigaji kura wa moja kwa moja wa wananchi mwaka 2024

    Somalia kuanzisha upigaji kura wa moja kwa moja wa wananchi mwaka 2024

    May 28, 2023 07:36

    Somalia imetangaza kuwa itaanzisha mfumo wa upigaji kura wa moja kwa moja wa wananchi. Hatua hii inafuatia ahadi ya Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia mwezi Machi mwaka huu ya kukomesha mfumo tata wa upigaji kura usio wa moja kwa moja unaoendelea tangu mwaka 1969.

  • Museveni: Tutalipiza kisasi cha shambulio la al-Shabaab dhidi ya UPDF Somalia

    Museveni: Tutalipiza kisasi cha shambulio la al-Shabaab dhidi ya UPDF Somalia

    May 28, 2023 03:24

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo UPDF litatoa jibu kali kufuatia shambulizi la wanamgambo wa al-Shabaab dhidi ya askari walinda amani wa Uganda walioko nchini Somalia.

  • UN: Zaidi ya watu milioni moja wamekimbia makazi yao katika muda wa miezi minne Somalia

    UN: Zaidi ya watu milioni moja wamekimbia makazi yao katika muda wa miezi minne Somalia

    May 24, 2023 21:57

    Wasomali zaidi ya milioni moja wamekuwa wakimbizi nchini humo katika kipindi cha zaidi ya miezi minne kutokana na ukame, mashambulizi ya wanamgambo wa al Shabaab na mafuriko. Haya yameelezwa na taasisi za misaada ya kibinadamu.

  • Maelfu wakimbia mafuriko Somalia baada ya miezi kadhaa ya ukame mkubwa

    Maelfu wakimbia mafuriko Somalia baada ya miezi kadhaa ya ukame mkubwa

    May 13, 2023 22:00

    Maelfu ya watu wamelazimika kuyahama makazi yao katikati mwa Somalia baada ya Mto Shabelle kuvunja kingo zake huko Beledweyne.

  • Indhari kuhusu magonjwa yanayotokana na maji Somalia baada ya mvua kubwa

    Indhari kuhusu magonjwa yanayotokana na maji Somalia baada ya mvua kubwa

    Apr 14, 2023 22:53

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imeonya kwamba mafuriko ya ghafla yaliiyotokea Somalia yanaweza kusababisha milipuko ya magonjwa yanayotokana na maji.

  • Guterres: Somalia inahitaji misaada na kuungwa mkono pakubwa kimataifa

    Guterres: Somalia inahitaji misaada na kuungwa mkono pakubwa kimataifa

    Apr 11, 2023 08:31

    Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliyeko ziarani nchini Somalia katika eneo la Pembe ya Afrika leo ametaka kupatiwa misaada na kuungwa mkono pakubwa kimataifa Somalia katika kipindi hiki ambacho nchi hiyo inakabiliana na janga la kibinadamu lililosababishwa na ukame na ukosefu wa amani nchini humo.

  • Dola bilioni 2.6 zinahitajika mwaka huu kusaidia Wasomali zaidi ya milioni saba wenye hali mbaya

    Dola bilioni 2.6 zinahitajika mwaka huu kusaidia Wasomali zaidi ya milioni saba wenye hali mbaya

    Apr 06, 2023 03:54

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa dola bilioni 2.6 zinahitajika kwa ajili ya kuwasaidia mamilioni ya watu nchini Somalia ambako changamoto za mabadiliko ya tabianchi na mgogoro wa muda mrefu vimesababisha nchi hiyo kuwa na moja ya janga kubwa zaidi la kibinadamu duniani.

  • Mashambulio ya kigaidi ya Al-Shabaab yaua zaidi ya watu 30 Somalia

    Mashambulio ya kigaidi ya Al-Shabaab yaua zaidi ya watu 30 Somalia

    Mar 31, 2023 03:44

    Watu zaidi ya 30 wameuawa katika mashambulio yaliyofanywa na kundi la kigaidi la al-Shabaab kusini mwa Somalia.

  • Mafuriko yaua watu 14 Somalia; madaraja, barabara na nyumba zasombwa

    Mafuriko yaua watu 14 Somalia; madaraja, barabara na nyumba zasombwa

    Mar 28, 2023 04:06

    Kwa akali watu 14 wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kusini mwa Somalia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS