Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Ripoti: Ukame uliua watu zaidi ya 40,000 nchini Somalia 2022

    Ripoti: Ukame uliua watu zaidi ya 40,000 nchini Somalia 2022

    Mar 21, 2023 22:48

    Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya ya Uswisi, Shirika la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) umeonyesha kuwa, ukame ambao ni mrefu zaidi kuwahi kurekodiwa nchini Somalia umesababisha makumi ya maelfu ya watu kupoteza maisha.

  • Magaidi wa al-Shabaab wapigana wenyewe kwa wenyewe Somalia

    Magaidi wa al-Shabaab wapigana wenyewe kwa wenyewe Somalia

    Mar 13, 2023 22:39

    Makundi hasimu ya genge la kigaidi la al-Shabaab la Somalia yameshambuliana katika jimbo lenye mamlaka ya ndani la Puntland.

  • Somalia: Tunajaribu kukomesha machafuko Somaliland

    Somalia: Tunajaribu kukomesha machafuko Somaliland

    Mar 08, 2023 03:06

    Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amesema kuwa nchi hiyo inajaribu kurejesha amani katika eneo lililojitenga na nchi hiyo la Somaliland kaskazini mwa nchi kufuatia kuibuka mivutano kati ya mamlaka za utawala na makundi ya koo katika eneo hilo.

  • Makumi ya watu wauawa katika mapigano kaskazini mwa Somalia

    Makumi ya watu wauawa katika mapigano kaskazini mwa Somalia

    Mar 03, 2023 08:40

    Raia wasiopungua 210 wameuawa katika mapigano yaliyotokea huko Somaliland (eneo linalojitenga kaskazini mwa Somalia), kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya makundi yanayoiunga mkono serikali ya Mogadishu na wapiganaji wanaotaka kujitenga. Mapigano hayo yanaendelea tangu siku 24 zilizopita katika eneo hilo.

  • Umoja wa Afrika waanza kuchunguza chanzo cha kuanguka helikopta ya kikosi chake Somalia

    Umoja wa Afrika waanza kuchunguza chanzo cha kuanguka helikopta ya kikosi chake Somalia

    Feb 27, 2023 07:50

    Ujumbe wa Umoja wa Afrika nchini Somalia umetangaza kuanza uchunguzi kuhusu sababu za ajali ya helikopta ya kikosi cha kulinda amani cha umoja huo iliyotokea nchini Somalia.

  • Askari wa jeshi la Kenya waua magaidi wa al-Shabab katika mpaka wa nchi hiyo na Somalia

    Askari wa jeshi la Kenya waua magaidi wa al-Shabab katika mpaka wa nchi hiyo na Somalia

    Feb 17, 2023 03:58

    Askari wa Jeshi la Ulinzi wa Kenya KDF wamewaua magaidi watatu wa kundi la ukufurishaji la Al-Shabaab la Somalia katika eneo la Sarira kwenye mpaka wa pamoja wa nchi hizo mbili.

  • Jeshi la Somalia latoa pigo jingine kwa al-Shabaab, laua 117 Mudug

    Jeshi la Somalia latoa pigo jingine kwa al-Shabaab, laua 117 Mudug

    Feb 12, 2023 23:04

    Idadi kubwa ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia katika eneo la Mudug jimboni Galmudug, katikati nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Mapigano yashtadi Somaliland, waliouawa wapindukia 70

    Mapigano yashtadi Somaliland, waliouawa wapindukia 70

    Feb 09, 2023 08:35

    Idadi ya watu waliouawa katika mapigano yanayoendelea kushuhudiwa kwa siku ya nne hii leo katika mji wa Las Anod, mashariki mwa eneo la Somaliland nchini Somalia imeongezeka na kufikia watu 70.

  • Watu 74 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano yaliyotokea Somalia

    Watu 74 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano yaliyotokea Somalia

    Feb 07, 2023 03:41

    Watu wapatao 34 wameuawa katika mapigano ya umwagaji damu yaliyotokea kati ya wanajeshi wa Somalia na wanamgambo katika eneo la Somaliland.

  • Kenya na Somalia zakubaliana kushirikiana zaidi ili kuboresha hali ya usalama

    Kenya na Somalia zakubaliana kushirikiana zaidi ili kuboresha hali ya usalama

    Feb 06, 2023 22:56

    Serikali ya Kenya imetangaza kufungua tena mpaka wa nchi kavu wa nchi hiyo na Somalia kwa lengo la kuboresha hali ya usalama katika mipaka hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS