-
Serikali ya Somalia yaikosoa Imarati kwa kuwaunga mkono wapinzani wa Kisomali
Feb 21, 2021 11:46Serikali ya Somalia imeikosoa Imarati kutokana na kuwaunga mkono wapinzani wa serikali ya Mogadishu.
-
Milio mikubwa ya risasi na miripuko yatokea mji mkuu wa Somalia katika maandamano ya wapinzani
Feb 19, 2021 10:36Milio mikubwa ya risasi na miripuko imezuka katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu wakati vikosi vya usalama vilipopambana na waandamanaji wenye hasira kutokana na kucheleweshwa uchaguzi. Hayo ni kwa mujibu wa mashuhuda, serikali na viongozi wa upinzani.
-
Mlipuko mwingine wautikisa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu; watu kadhaa wauawa
Feb 13, 2021 08:31Kwa akali watu watatu wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko mkubwa katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu.
-
Rais wa Somalia aitisha mkutano mwingine kuondoa mkwamo wa kisiasa
Feb 10, 2021 10:12Rais Mohamed Abdullahi Farmajo wa Somalia ametoa mwito wa kufanyika kwa raundi mpya ya mazungumzo ya majadiliano tarehe 15 mwezi huu ili kusaidia kuondoa mkwamo wa mchakato wa uchaguzi.
-
Maajenti 12 wa usalama wauawa katika shambulio la bomu Somalia
Feb 08, 2021 08:41Mkuu wa Idara ya Intelijensia ya Somalia pamoja na maajenti 11 wa kitengo hicho cha usalama wameuawa katika mripuko wa bomu la kutegwa kando ya barabara katika jimbo la Galmudug, katikati ya nchi.
-
Rais wa Somalia: Nchi za kigeni zinavuruga mchakato wa uchaguzi nchini
Feb 07, 2021 04:01Rais Muhammed Abdullahi Farmajo wa Somalia amesema uingiliaji wa madola ajinabi katika mambo ya ndani ya nchi hiyo ndiyo sababu kuu ya kugonga mwamba mazungumzo ya kujaribu kuupatia ufumbuzi mkwamo wa uchaguzi katika nchi hiyo.
-
Jeshi la Somalia lawaangamiza magaidi 8 wa al-Shabab walioshambulia ujumbe wa rais
Feb 06, 2021 01:13Jeshi la Somalia limetangaza kuwaangamiza magaidi 8 wa kundi la al-Shabab ambao waliushambulia kwa mizinga mkutano wa serikali uliokuwa unaongozwa na rais wa nchi hiyo.
-
Marekani inaendelea kuingilia Somalia kijeshi
Feb 02, 2021 22:58Kamandi ya Oparesheni Maalumu za Jeshi la Marekani barani Afrika imetangaza kuwa, Jeshi la Marekani limeanza kutoa mafunzo tena kwa Jeshi la Somalia hata baada ya kutangaza kuondoa askari wake katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Umoja wa Mataifa wasisitiza kuhusu utatuzi wa kadhia ya wakimbizi Somalia
Feb 02, 2021 09:19Mratibu mkazi wa Umoja wa Mataifa na wa masuala ya kibinadamu nchini Somalia amesema wakimbizi wa ndani nchini humo ni mtihani mkubwa ambao unahitaji suluhisho la muda mrefu.
-
Mwakilishi wa UN Somalia alaani vikali shambulio la kigaidi la mjini Mogadishu
Feb 02, 2021 04:01Umoja wa Mataifa nchini Somalia umelaani vikali shambulizi la kigaidi lilofanywa Jumapili kwenye hotel ya Afrika katika mji mkuu Mogadishu na kusababisha vifo vya watu kadhaa na wengine wengi kusalia majeruhi.