Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Rais wa Somalia amteua Waziri Mkuu mpya baada ya miezi miwili

    Rais wa Somalia amteua Waziri Mkuu mpya baada ya miezi miwili

    Sep 18, 2020 03:36

    Rais Mohamed Abdullahi Mohamed Farmajo wa Somalia amemteua Mohamed Hussein Roble kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Magaidi 7 wa al-Shabaab waangamizwa na askari kusini mwa Somalia

    Magaidi 7 wa al-Shabaab waangamizwa na askari kusini mwa Somalia

    Sep 17, 2020 03:36

    Wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia huko kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Gaidi ajiripua mbele ya msikiti, kusini mwa Somalia

    Gaidi ajiripua mbele ya msikiti, kusini mwa Somalia

    Sep 11, 2020 20:13

    Duru za habari za ndani na nje ya Somalia zimetangaza kuwa gaidi mmoja amejiripua kwa mabomu nje ya msikiti mmoja wa kusini mwa nchi hiyo.

  • Al-Shabaab yadai kuua watu 16 Somalia wakiwemo askari wa Marekani

    Al-Shabaab yadai kuua watu 16 Somalia wakiwemo askari wa Marekani

    Sep 08, 2020 03:24

    Wanamgambo wa al-Shabaab wametangaza kuhusika na mripuko wa bomu ulioua watu 16, wakiwemo wanajeshi wanne wa Kamandi ya Jeshi la Marekani Afrika (AFRICOM).

  • Wanajeshi wawili wa serikali wauawa, afisa wa jeshi la Marekani ajeruhiwa Somalia

    Wanajeshi wawili wa serikali wauawa, afisa wa jeshi la Marekani ajeruhiwa Somalia

    Sep 07, 2020 10:02

    Wanajeshi wawili wa kikosi maalumu cha Somalia wameuawa na afisa mmoja wa jeshi la Marekani amejeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea leo Jumatatu nje ya kambi ya kijeshi ya kusini mwa nchi hiyo.

  • 30 wauawa katika mapigano baina ya al-Shabaab na wanakijiji Somalia

    30 wauawa katika mapigano baina ya al-Shabaab na wanakijiji Somalia

    Sep 06, 2020 03:05

    Makumi ya watu wameuawa katika makabiliano makali baina ya wanamgambo wa al-Shabaab na wanakijiji katikati mwa Somalia.

  • UN yawatuza mamia ya askari wa Uganda walioko Somalia

    UN yawatuza mamia ya askari wa Uganda walioko Somalia

    Sep 01, 2020 03:14

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewapa medali ya heshima wanajeshi 600 wa Uganda wanaolinda taasisi na wafanyakazi wa UN nchini Somalia.

  • Wavuvi Wairani waliokuwa wanashikiliwa mateka na maharamia Somalia waachiliwa huru

    Wavuvi Wairani waliokuwa wanashikiliwa mateka na maharamia Somalia waachiliwa huru

    Aug 21, 2020 22:26

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetangaza kuwa, kundi la mwisho la mabaharia Wairani ambao walitekwa nyara na maharamia wa Somalia mwaka 2015 hatimaye wameachiliwa huru.

  • Watu 19 wauawa katika jaribio la magaidi wa Al Shabab kutoroka gerezani Mogadishu

    Watu 19 wauawa katika jaribio la magaidi wa Al Shabab kutoroka gerezani Mogadishu

    Aug 12, 2020 06:28

    Watu 19 wameuawa wakati wafungwa ambao ni wafuasi wa kundi la kigaidi wa Al Shabab walipojaribu kutoroka katika gereza moja katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

  • Mlipuko watikisa kambi ya jeshi Mogadishu; watu 8 wapoteza maisha

    Mlipuko watikisa kambi ya jeshi Mogadishu; watu 8 wapoteza maisha

    Aug 08, 2020 07:11

    Mlipuko mkubwa umetokea leo katika kambi ya jeshi huko Mogadishu mji mkuu wa Somalia na kuuwa watu 8 na kujeruhi wengine 14.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS