Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Magaidi 87 wa al Shabab wauawa kusini mwa Somalia

    Magaidi 87 wa al Shabab wauawa kusini mwa Somalia

    Jul 24, 2018 11:41

    Serikali ya Somalia imetangaza kuwa imewaangamiza magaidi 87 wa kundi la al Shabab katika mapigano yaliyotokea jana kusini mwa nchi hiyo.

  • Kundi la al Shabab lashambulia kambi ya jeshi na kuuwa wanajeshi 27 Somalia

    Kundi la al Shabab lashambulia kambi ya jeshi na kuuwa wanajeshi 27 Somalia

    Jul 23, 2018 03:38

    Kundi la wanamgambo wa al Shabab lenye makao yake nchini Somalia limetangaza hii leo kuwa limeshambulia kambi moja ya jeshi kwa kulipua bomu lililotegwa garini huko kusini mwa nchi hiyo na kuuwa wanajeshi 27.

  • Al-Shabaab yateka mji muhimu katika eneo la Puntland, Somalia

    Al-Shabaab yateka mji muhimu katika eneo la Puntland, Somalia

    Jul 20, 2018 09:48

    Kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab la Somalia limeteka mji mdogo lakini wa kistratajia ulioko karibu na eneo la milima ya Galgala, kusini mwa jiji la Bosaso katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland.

  • Mripuko wa bomu watokea karibu na ikulu ya rais wa Somalia

    Mripuko wa bomu watokea karibu na ikulu ya rais wa Somalia

    Jul 07, 2018 09:55

    Polisi ya Somalia imetangaza habari ya kutokea mripuko wa bomu karibu na ikulu ya Rais Mohamed Abdullahi Mohamed wa nchi hiyo mjini Mogadishu.

  • EU yaishambulia Imarati kwa kuvuruga uthabiti Somalia

    EU yaishambulia Imarati kwa kuvuruga uthabiti Somalia

    Jul 06, 2018 08:57

    Bunge la Umoja wa Ulaya limezikosoa vikali Umoja wa Falme za Kiarabu na Saudi Arabia kwa kuikatia Somalia misaada kutokana na nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kutangaza msimamo wa kutoegemea upande wowote katika mgogoro kati ya nchi nne za Kiarabu zikiongozwa na Saudia kwa upande mmoja na Qatar kwa upande wa pili.

  • Wanafunzi wa Kiafrika wanaotuhumiwa kwa ugaidi wakamatwa Uturuki

    Wanafunzi wa Kiafrika wanaotuhumiwa kwa ugaidi wakamatwa Uturuki

    Jul 01, 2018 22:07

    Makumi ya wanafunzi wa Kiafrika hususan raia wa Somalia wamekamatwa nchini Uturuki, wakihusishwa na Shirika la Kigaidi la Fathullah FETO, linalodaiwa kuratibu na kutekeleza jaribio la mapinduzi lililofeli la mwaka 2016.

  • Magaidi 7 wa Al Shabab, akiwemo Mtanzania, waangamizwa katika mapigano Somalia

    Magaidi 7 wa Al Shabab, akiwemo Mtanzania, waangamizwa katika mapigano Somalia

    Jun 26, 2018 03:14

    Jeshi la Somalia limewaangamiza magaidi saba wa kundi la kigaidi la Al Shabab katika mapigano yaliyojiri katika eneo la Lower Juba kusini mwa nchi hiyo.

  • Mabaharia 17 wa Kiirani waliokamatwa Somalia waachiwa huru

    Mabaharia 17 wa Kiirani waliokamatwa Somalia waachiwa huru

    Jun 21, 2018 09:11

    Mabaharia 17 wa Kiirani waliokuwa wameingia kimakosa katika maji ya Somalia na kutiwa nguvuni mwishoni mwa mwaka jana 2017 wameachiwa huru na kurejea nchini.

  • Kimbunga cha Kitropiki kimeua watu 53 Somalia

    Kimbunga cha Kitropiki kimeua watu 53 Somalia

    Jun 15, 2018 10:45

    Shirika la Kuratibu Misaada ya Kibinadamu la Umoja wa Mataifa (OCHA) limesema watu wasiopungua 53 wamefariki dunia Somalia kufuatia kimbunga cha kitropiki kilichoikumba nchi hiyo hivi karibuni.

  • Watu 7 wafa maji katika ajali ya boti kusini mwa Somalia

    Watu 7 wafa maji katika ajali ya boti kusini mwa Somalia

    Jun 12, 2018 22:11

    Watu saba wamethibitishwa kupoteza maisha baada ya boti yao kuzama katika Mto Shabelle, kusini mwa Somalia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS