Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Askari wa Somalia, AMISOM waendelea kuwafurusha magaidi wa Al Shabab

    Askari wa Somalia, AMISOM waendelea kuwafurusha magaidi wa Al Shabab

    May 28, 2017 09:22

    Askari wa Jeshi la kitaifa la Somalia (SNA) wakisaidiwa na askari wa Vikosi vya Kulinda Amani vya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM Jumamosi walikomboa maeneo kadhaa kusini mwa nchi hiyo.

  • Polisi ya Kenya: Tumewatia mbaroni wanachama 33 wa al-Shabab

    Polisi ya Kenya: Tumewatia mbaroni wanachama 33 wa al-Shabab

    May 19, 2017 23:35

    Polisi ya Kenya imetangaza habari ya kuwatia mbaroni wanachama 33 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab miezi minne iliyopita katika mji ulioko karibu na mpaka wa nchi mbili.

  • Wanajeshi 3 wauawa wakitegua bomu nchini Somalia

    Wanajeshi 3 wauawa wakitegua bomu nchini Somalia

    May 17, 2017 09:24

    Kwa akali askari watatu wa jeshi la Somalia wamepoteza maisha baada ya mabomu yaliyokuwa yametegwa ndani ya gari moja lililokamatwa na maafisa usalama kuwalipukia katika mji mkuu Mogadishu.

  • Uganda kuongeza idadi ya askari wake nchini Somalia ili kupambana na ash-Shabab

    Uganda kuongeza idadi ya askari wake nchini Somalia ili kupambana na ash-Shabab

    May 16, 2017 03:45

    Serikali ya Uganda imetangaza azma yake ya kuongeza idadi ya askari wake nchini Somalia kwa lengo la kupambana na magaidi wa genge la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab kupitia operesheni ya askari wa kusimamia amani wa Umoja wa Afrika nchini humo.

  • Zaidi ya watu 100 wauawa na kujeruhiwa nchini Somalia

    Zaidi ya watu 100 wauawa na kujeruhiwa nchini Somalia

    May 14, 2017 11:59

    Mtandao wa habari wa al Yaum al Saabi' wa nchini Misri umeripoti habari ya kuuawa na kujeruhiwa zaidi ya watu mia moja katika mapigano nchini Somalia.

  • Zaidi ya watu 100 wauawa na kujeruhiwa nchini Somalia

    Zaidi ya watu 100 wauawa na kujeruhiwa nchini Somalia

    May 14, 2017 08:20

    Mtandao wa habari wa al Yaum al Saabi' wa nchini Misri umeripoti habari ya kuuawa na kujeruhiwa zaidi ya watu mia moja katika mapigano nchini Somalia.

  • Umoja wa Mataifa wataka wakimbizi wa Somalia wasaidiwe

    Umoja wa Mataifa wataka wakimbizi wa Somalia wasaidiwe

    May 13, 2017 02:46

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetoa wito wa kusaidiwa wakimbizi wa Somalia ambao kwa sasa wanahitajia misaada ya haraka kutokana na hali mbaya wanayokabiliwa nayo.

  • Rais wa Somalia aomba msaada wa kimataifa

    Rais wa Somalia aomba msaada wa kimataifa

    May 11, 2017 23:12

    Rais Mohamed Abdullahi Mohamed wa Somalia ameiuomba jamii ya kimataifa iisaidie nchi yake katika kupambana na ugaidi, ufisadi na umaskini wa kuchupa mipaka; mambo ambayo amesema ndiye adui mkuu wa nchi hiyo.

  • UN: Dola milioni 900 zinahitajika kunusuru maisha ya Wasomali milioni 6

    UN: Dola milioni 900 zinahitajika kunusuru maisha ya Wasomali milioni 6

    May 11, 2017 10:29

    Umoja wa Mataifa umesema unahitajia dola milioni 900 za Marekani kufikia mwishoni mwa mwaka huu kwa ajili ya kunusuru maisha ya raia milioni 6 wa Somalia wanaohitajia misaada ya dharura ya kibinadamu.

  • Kenyatta: Jeshi la Kenya kubakia Somalia hadi Kenya iwe salama

    Kenyatta: Jeshi la Kenya kubakia Somalia hadi Kenya iwe salama

    May 10, 2017 09:37

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesisitiza kuwa askari wa nchi hiyo wataendelea kubakia Somalia hadi wafikie lengo la kuihakikishia Kenya usalama.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS