Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • UN: Somalia inahitaji misaada ya dharura kukabiliana na njaa

    UN: Somalia inahitaji misaada ya dharura kukabiliana na njaa

    Jan 19, 2017 04:09

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya kibinadamu, OCHA, imezindua ombi la dola milioni 864 kwa ajili ya kushughulikia mahitaji ya kibinadamu nchini Somalia kwa mwaka huu wa 2017.

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusiana na ukame nchini Somalia

    Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusiana na ukame nchini Somalia

    Jan 18, 2017 13:09

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na kuongezeka matatizo ya Somalia kutokana na ukame unaoikabili nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Burundi yaanza kuondoa askari wake wa kulinda amani Somalia

    Burundi yaanza kuondoa askari wake wa kulinda amani Somalia

    Jan 17, 2017 01:02

    Serikali ya Burundi imeanza kuwaondoa wanajeshi wake wanaohudumu katika Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia Amisom kutokana na mgogoro wa mshahara.

  • AU, EU na UN zataka kutatuliwa tofauti zilizopo jimbo la Galmudug, Somalia

    AU, EU na UN zataka kutatuliwa tofauti zilizopo jimbo la Galmudug, Somalia

    Jan 14, 2017 23:09

    Wawakilishi wa Umoja wa Afrika, Umoja wa Ulaya na Umoja wa Mataifa wametaka kutatuliwa haraka tofauti zilizopo katika jimbo la Galmudug nchini Somalia kupitia njia ya mazungumzo.

  • Watu wanne wauawa katika hujuma pacha mjini Mogadishu

    Watu wanne wauawa katika hujuma pacha mjini Mogadishu

    Jan 08, 2017 10:34

    Watu wasiopungua wanne wameuawa na wengine 17 kujeruhiwa katika mashambulizi pacha ya kigaidi yaliyoulenga mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

  • Nchi za Afrika kuendelea kuwapa hifadhi wakimbizi wa Somalia

    Nchi za Afrika kuendelea kuwapa hifadhi wakimbizi wa Somalia

    Jan 06, 2017 04:23

    Nchi tano za pembe ya Afrika zinazohifadhi wakimbizi wa Somalia, zimesema zitaendelea kuwapatia hifadhi wakimbizi hao huku jamii ya kimataifa ikiendeleza harakati za kurejesha amani ya kudumu nchini mwao.

  • Al Shabab washambulia ofisi ya Umoja wa Mataifa Mogadishu

    Al Shabab washambulia ofisi ya Umoja wa Mataifa Mogadishu

    Jan 04, 2017 13:00

    Kundi la kigaidi la al Shabab limeshambulia ofisi ya Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

  • UN ina wasiwasi kuhusu athari za El-Nino kaskazini na mashariki mwa Afrika

    UN ina wasiwasi kuhusu athari za El-Nino kaskazini na mashariki mwa Afrika

    Jan 01, 2017 13:06

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa una wasiwasi kuhusu maafa yanayosababishwa na tatizo la mabadiliko ya tabia nchi ya El-Nino katika maeneo ya kaskazini na mashariki mwa Afrika.

  • Burundi yatishia kuishtaki AU na kuondoa askari wake Somalia

    Burundi yatishia kuishtaki AU na kuondoa askari wake Somalia

    Dec 31, 2016 03:36

    Burundi imetishia kuushataki Umoja wa Afrika AU sambamba na kuwaondoa askari wake nchini Somalia wanaohudumu chini ya mwavuli wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika Amisom.

  • Watu 7 wauawa katika mapigano makali Afgoye, Somalia

    Watu 7 wauawa katika mapigano makali Afgoye, Somalia

    Dec 30, 2016 11:57

    Watu saba wameuawa katika mapigano makali baina ya jeshi la Somalia na magaidi wa kundi la Al-Shabaab baada ya wapiganaji hao kushambulia kituo cha upekuzi cha jeshi mjini Afgoye, kilomita 30 kusini mwa Mogadishu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS