-
Watu sita wauawa katika shambulio la kigaidi Somalia
Dec 28, 2016 11:11Watu sita wameuawa katika shambulio lililofanywa leo na wanamgambo wenye mfungamano na kundi la kigaidi la al Shabab.
-
Wabunge wapya wa Bunge la taifa la Somalia waapishwa mjini Mogadishu
Dec 28, 2016 04:39Wabunge wapya wa Bunge la taifa la Somalia wameapishwa katika hafla iliyofanyika mjini Mogadishu chini ya hatua kali za kiusalama.
-
Wakimbizi waliorejeshwa Somalia wataka kurejea Dadaab
Dec 27, 2016 11:22Akthari ya wakimbizi wa Kisomali waliorejeshwa kwa khiari nchini Somalia wamesema ahadi walizopewa kabla ya kurejeshwa nchini humo hazijatekelezwa na sasa baadhi yao wanataka kurejea katika kambi ya Dadaab nchini Kenya.
-
Uchaguzi wa Rais nchini Somalia waakhirishwa kwa mara ya nne
Dec 26, 2016 12:47Uchaguzi wa Rais nchini Somalia uliokuwa umepangwa kufanyika Jumatano ijayo ya tarehe 28 ya mwezi huu wa Desemba umeakhirishwa tena.
-
Al Shabab yamuua Mwendesha Mashtaka wa Jeshi, Puntland
Dec 26, 2016 01:03Kundi la kigaidi la al Shabab limempiga risasi na kumuua Mwendesha Mashtaka wa Jeshi katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.
-
Sisitizo la Umoja wa Afrika la kupambana na kundi la kigaidi la al-Shabab
Dec 21, 2016 23:32Kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kwa mara nyingine tena kimesisitiza juu ya azma yake ya kukabiliana na tishio la kundi la kigaidi la al-Shabab.
-
AMISOM kuchunguza tuhuma za askari wake kuua raia Somalia
Dec 20, 2016 11:26Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) kimesema kimeanza uchunguzi kuhusu vifo vya raia sita vilivyotokea katika matukio tofauti huko Qoryooley mashariki mwa Somalia, mwishoni mwa wiki iliyopita.
-
Milipuko ya kigaidi yaendelea kuitikisa Somalia, wanajeshi watano wauliwa
Dec 15, 2016 10:53Wanajeshi watano wa Somalia wameuawa katika mlipuko wa bomu la kutegwa garini uliotekelezwa leo karibu na ikulu ya Rais wa Somalia na kujeruhi pia makumi ya watu.
-
Rais wa Somalia atoa radiamali yake kufuatia kushtadi ukosefu wa amani nchini humo
Dec 12, 2016 23:20Rais wa Somalia ameeleza kuwa nchi hiyo inapitia kipindi kigumu na ametaka kufanyike juhudi za pande zote kwa ajili ya kupambana na vitisho vya ugaidi. Rais wa Somalia ameyasema hayo baada ya mashambulizi ya kigaidi mtawalia kuikumba nchi hiyo hivi karibuni.
-
Wanne wauawa katika mlipuko wa kigaidi Somalia
Dec 12, 2016 10:27Mlipuko wa kigaidi uliotokea leo katika mji wa bandari wa Kismayo nchini Somalia umeuawa watu wanne.