Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Kenya yakanusha madai ya kutekwa mji wake mpakani na Somalia

    Kenya yakanusha madai ya kutekwa mji wake mpakani na Somalia

    Dec 12, 2016 03:38

    Vyombo vya usalama nchini Kenya vimekadhibisha habari zilizoenea katika mitandao ya kijamii kuwa mji wa Elwak ulioko katika mpaka wa nchi hiyo na Somalia umetekwa na wanamgambo wa kigaidi wa al-Shabaab.

  • Idadi ya walioaga dunia katika mlipuko Mogasdishu yafikia watu 35

    Idadi ya walioaga dunia katika mlipuko Mogasdishu yafikia watu 35

    Dec 11, 2016 11:07

    Shambulio la bomu lililotekelezwa katika lango la kuingilia katika bandari kubwa zaidi ya Somalia huko Mogadishu, limeua watu 35 hadi sasa. Hayo ni kwa mujibu wa polisi ya Somalia.

  • Kikao cha viongozi wa IGAD cha kujadili amani ya eneo

    Kikao cha viongozi wa IGAD cha kujadili amani ya eneo

    Dec 11, 2016 03:38

    Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ustawi wa Mashariki mwa Afrika IGAD wamekutana katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa kwa kikao cha 29 cha dharura ambacho kimefanyika kwa uenyekiti wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Hailemariam Desalegn kujadili amani na uthabiti wa eneo hasa katika nchi za Sudan Kusini na Somalia.

  • Uchaguzi wa Rais Somalia kufanyika Disemba 28

    Uchaguzi wa Rais Somalia kufanyika Disemba 28

    Dec 09, 2016 10:35

    Viongozi wa kisiasa nchini Somalia wametangaza tarehe mpya ya kufanyika uchaguzi wa rais nchini humo baada ya kuuakhirisha mara tatu sasa.

  • Kundi la ash Shabab lashambulia kusini mwa Somalia

    Kundi la ash Shabab lashambulia kusini mwa Somalia

    Dec 08, 2016 00:38

    Watu wanne wameuawa baada ya kundi la kigaidi la ash Shabab kushambulia eneo moja la kusini mwa Somalia.

  • Kenya kutekeleza mpango wa upokonyaji silaha katika mipaka yake na Somalia na Ethiopia

    Kenya kutekeleza mpango wa upokonyaji silaha katika mipaka yake na Somalia na Ethiopia

    Dec 05, 2016 03:28

    Serikali ya Kenya imetangaza kuwa, inakusudia kutekeleza mpango wa upokonyaji silaha katika maeneo ya nchi hiyo yanayopakana na nchi za Somalia na Ethiopia.

  • Vikosi vya Somalia vyaua magaidi 7 wa ISIS

    Vikosi vya Somalia vyaua magaidi 7 wa ISIS

    Dec 03, 2016 23:59

    Wanajeshi wa Somalia wamefanikiwa kuwaua magaidi saba wanaofungamana na kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika mapigano yaliyojiri kaskazini mwa nchi hiyo siku ya Jumamosi.

  • UN yatoa wito wa kusaidiwa nchi ya Somalia

    UN yatoa wito wa kusaidiwa nchi ya Somalia

    Dec 03, 2016 01:14

    Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa jumuiya za kitaifa kutoa misaada ya kibinadamu kwa Somalia.

  • Wanamgambo Somalia wawachinja wazee wa vijiji wa Kisuni

    Wanamgambo Somalia wawachinja wazee wa vijiji wa Kisuni

    Nov 30, 2016 12:56

    Wazee wanane wa vijiji vya eneo la Galmudug nchini Somalia wameuawa kwa kukatwa vichwa na kundi moja la wanamgambo eti kwa kukataa kulipa kodi.

  • Kwa mara nyingine uchaguzi wa rais Somalia waahirishwa, tarehe haijulikani

    Kwa mara nyingine uchaguzi wa rais Somalia waahirishwa, tarehe haijulikani

    Nov 29, 2016 10:05

    Uchaguzi wa rais nchini Somalia uliokuwa umepangwa kufanyika tarehe 30 ya mwezi huu, umeahirishwa kwa mara ya tatu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS