Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Jumuiya za misaada ya kibinadamu: Somalia inakabiliwa na njaa

    Jumuiya za misaada ya kibinadamu: Somalia inakabiliwa na njaa

    Nov 28, 2016 23:31

    Mamilioni ya raia wa Somalia wanakabiliwa na hatari ya ukosefu wa chakula na baa la njaa.

  • Somalia kabla ya uchaguzi mkuu wa Novemba 30

    Somalia kabla ya uchaguzi mkuu wa Novemba 30

    Nov 28, 2016 10:31

    Uchaguzi mkuu wa Somalia umepangwa kufanyika tarehe 30 mwezi huu wa Novemba baada ya kuahirishwa mara kadhaa. Wagombea 18 wanatazamiwa kuchuana kwa ajili ya kiti cha rais mpya wa Somalia.

  • Watu 30 wauawa katika hujuma ya kigaidi Mogadishu, Somalia

    Watu 30 wauawa katika hujuma ya kigaidi Mogadishu, Somalia

    Nov 26, 2016 12:23

    Watu wasiopungua 30 wamepoteza maisha katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu kufuatia hujuma mbaya zaidi dhidi ya raia kuwahi kushuhudiwa mjini humo katika miaka ya hivi karibuni.

  • Afisa wa polisi Somalia auawa katika mripuko wa bomu

    Afisa wa polisi Somalia auawa katika mripuko wa bomu

    Nov 25, 2016 01:20

    Afisa mmoja wa ngazi ya juu nchini Somalia ameuawa katika hujuma iliyofanywa na magaidi wanaosaidikiwa kuwa ni wanachama wa ash-Shabab.

  • Al Shabab 11 wauliwa kusini mwa Somalia

    Al Shabab 11 wauliwa kusini mwa Somalia

    Nov 24, 2016 04:31

    Wanamgambo 11 wa kundi la al Shabab lenye makao yake nchini Somalia wameuawa na vikosi vya jeshi la serikali kusini mwa nchi hiyo.

  • Jeshi la Somalia lakomboa eneo la Jauf Judud

    Jeshi la Somalia lakomboa eneo la Jauf Judud

    Nov 20, 2016 02:13

    Jeshi la serikali ya Somalia limefanikiwa kukomboa mji wa Jouf Judud katika mkoa wa Juba ya Kati huko kusini mwa nchi hiyo.

  • Waziri Mkuu wa Somalia atoa hakikisho la kusitishwa mapigano Galkayo

    Waziri Mkuu wa Somalia atoa hakikisho la kusitishwa mapigano Galkayo

    Nov 19, 2016 12:13

    Waziri Mkuu wa Somalia Omar Sharmarke amesema, amepata hakikisho la kutekelezwa na kuheshimiwa usitishaji vita baina pande hasimu za maeneo ya Galmudug na Puntland.

  • Oparesheni ya jeshi la Somalia na kikosi cha AU dhidi ya al Shabab

    Oparesheni ya jeshi la Somalia na kikosi cha AU dhidi ya al Shabab

    Nov 19, 2016 08:29

    Wanamgambo kadhaa wa kundi la al Shabab lenye makao yake huko Somalia wameuawa kusini mwa nchi hiyo kufuatia oparesheni iliyofanywa na wanajeshi wa Somalia na askari wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika katika eneo moja kaskazini mashariki mwa bandari ya Kismayo, kusini mwa nchi hiyo.

  • Kenya yaakhirisha tarehe ya kufunga kambi ya Dadaab

    Kenya yaakhirisha tarehe ya kufunga kambi ya Dadaab

    Nov 16, 2016 10:16

    Kenya imerefusha muda wa kuwarejesha makwao wakimbizi wa Somalia walioko katika kambi ya Dadaab iliyoko kaskazini mashariki mwa nchi, ambayo ilitazamiwa kufungwa kikamilifu kufikia mwishoni mwa mwezi huu.

  • Jeshi la Somalia lakomboa eneo jengine kutoka kwa ash Shabab

    Jeshi la Somalia lakomboa eneo jengine kutoka kwa ash Shabab

    Nov 16, 2016 04:22

    Jeshi la Somalia limefanikiwa kukomboa eneo jengine katikati mwa nchi hiyo kutoka mikononi mwa kundi la wakufurishaji la ash Shabab.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS