-
Sudan katika jitihada za kustawisha uhusiano wake na Russia
Nov 27, 2017 04:42Rais Omar Hassan al Bashir wa Sudan ambaye alikuwa safarini mjini Moscow ameitaka Russia kuilinda Khartoum mbele ya uingiliaji kati wa Marekani nchini Sudan.
-
Al Bashir: Marekani ina mpango wa kuigawa Sudan
Nov 25, 2017 12:44Rais Omar al Bashir wa Sudan amesema kuwa mashinikizo na njama za Marekani ndivyo vilivyopelekea kugawanywa Sudan katika nchi mbili na kwamba Washington ina mpango wa kuigawa zaidi Sudan katika nchi tano tofauti.
-
Sudan yapinga misimamo dhidi ya Iran ya baadhi ya nchi za Kiarabu
Nov 22, 2017 23:57Rais Omar Hassan al Bashir wa Sudan amesema kuwa nchi yake haikubaliani na misimo iliyodhidi ya Iran na tangazo la vita la baadhi ya nchi za Kiarabu dhidi ya Jamhuri ya Kislamu.
-
Al Bashir atishia kuchukua hatua kali dhidi ya waasi Darfur
Nov 08, 2017 11:45Rais wa Sudan ametishia kuchukua hatua kali dhidi ya waasi wa Darfur iwapo hawatakabidhi silaha zao.
-
UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wakimbizi wa Sudan Kusini
Oct 27, 2017 04:13Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wakimbizi wa Sudan Kusini walioko katika mji mkuu wa nchi jirani ya Sudan, Khartoum.
-
Wabunge wa Sudan wapinga ushirikiano wa jeshi la nchi hiyo na Saudia huko Yemen
Oct 27, 2017 00:41Wabunge wa Sudan wamepinga ushirikiano wa jeshi la nchi hiyo na Saudi Arabia katika kuwaua raia na Waislamu wa Yemen.
-
Sudan: Mienendo ya Marekani inagongana na kupingana
Oct 21, 2017 13:30Serikali ya Sudan imeeleza masikitiko yake kwa hatua ya Marekani kuwataka raia wake kuchukua tahadhari kufanya safari ndani ya nchi hiyo ya Afrika na imesema kuwa, mienendo ya Washington ni yenye kupingana.
-
Serikali ya Sudan yafunga mipaka kwa ajili ya kukusanya silaha
Oct 05, 2017 23:22Serikali ya Sudan imefunga mipaka ya nchi hiyo katika utekelezaji wa mpango wa kukusanya silaha na imewataka raia wa nchi hiyo kuisaidia katika mchakato huo.
-
Wanajeshi vamizi wa Sudan wapata pigo, mamia wauawa nchini Yemen + Picha
Oct 01, 2017 00:29Toleo la mtandaoni la gazeti la al Akhbar la nchini Lebanon limetangaza habari ya kushindwa vibaya wanajeshi vamizi wa Sudan nchini Yemen. Kwa upande wake, mtandao wa habari wa Yemen Press umeandika kuwa, zaidi ya wanajeshi 400 wa Sudan wameshauawa hadi hivi sasa huko Yemen.
-
Mamia ya mamluki wa Saudia raia wa Sudan wauawa Yemen
Sep 28, 2017 10:47Mkuu wa Kikosi cha Sudan kinachoshirikiana na muungano wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen amesema mamia ya mamluki wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika wameuawa katika uvamizi wa muungano huo dhidi ya nchi hiyo maskini ya Kiarabu.