-
Sudan yaongeza idadi ya askari wake katika mpaka wa pamoja na Libya
May 22, 2017 22:46Sudan imeanza kutuma askari zaidi katika mpaka wake wa pamoja na Libya katika eneo la Darfur.
-
Ripoti: Watoto wakimbizi wa Sudan wanakabiliwa na lishe duni nchini Chad
May 18, 2017 22:56Mashirika ya utoaji misaada ya kibinadamu nchini Chad yametangaza kuwa, watoto wakimbizi wa Sudan walioko katika kambi za wakimbizi nchini humo wanakabiliwa na hali mbaya ya lishe duni.
-
Wakimbizi wa Sudan wanaishi katika hali mbaya nchini Chad
May 18, 2017 09:42Mashirika ya misaada yaliyoko nchini Chad yametangaza kuwa, wakimbizi wa Sudan wanaoishi katika kambi nne za wakimibizi nchini Chad wako katika hali mbaya huku watoto wadogo wa wakimbizi wakiteseka kwa lishe duni.
-
Wakimbizi wa Sudan Kusini wamiminika Sudan kwa maelfu
May 12, 2017 01:55Maelfu ya wakimbizi wa Sudan Kusini wanaendelea kumiminika nchi jirani ya Sudan wakitafuta mahala salama katika nchi ambayo walijitenga nayo miaka kadhaa iliyopita.
-
Makumi ya Wasudan watangaza himaya yao kwa mateka wa Palestina
May 11, 2017 02:52Makumi ya wananchi wa Sudan wameandamana na kukusanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa mateka wa Kipalestina.
-
Majeshi ya Ethiopia na Sudan yawekwa katika hali ya tahadhari kukabiliana na shambulio tarajiwa la Misri
May 08, 2017 23:50Vikosi vya mpakani vya majeshi ya Sudan na Ethiopia katika mpaka wa pamoja na Misri vimewekwa katika hali ya tahadhari kwa lengo la kuzima shambulio linaloweza kufanywa na nchi hiyo dhidi ya bwana la Ethiopia la Al-Nahdhah (Renaissance).
-
HRW yaitaka US iishinikize Sudan ikomeshe ukiukaji wa haki za binadamu
May 04, 2017 03:16Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitaka serikali ya Marekani iishinikize Sudan ikomeshe uvunjaji wa haki za binadamu.
-
Sudan yamtuhumu Rais wa Sudan Kusini kwa kufanya mazungumzo na waasi
Apr 25, 2017 03:46Sudan jana iliitaka nchi jirani ya Sudan Kusini isitishe uungaji mkono wake kwa makundi ya waasi wanaopigana vita na Khartoum na kumtuhumu Rais Kiir kuwa amekutana na kufanya mazungumzo na waasi wiki iliyopita.
-
Unicef yafikia maeneo yanakojiri mapigano huko Sudan
Apr 23, 2017 09:26Serikali ya Sudan imeruhusu kuingia wataalamu wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) katika maeneo yanayojiri mapigano.
-
Hitilafu kati ya Misri na Sudan zapamba moto zaidi
Apr 21, 2017 11:26Sudan imewasilisha malalamiko yake dhidi ya Misri katika Umoja wa Mataifa kuhusu umiliki wa maeneo ya Hala'ib na Shalatiin.