Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Nchi tatu za Afrika zataka Russia iwepo kijeshi katika ardhi zao

    Nchi tatu za Afrika zataka Russia iwepo kijeshi katika ardhi zao

    Feb 05, 2019 23:16

    Libya, Sudan na Misri, nchi tatu za Kiarabu za bara la Afrika zimetangaza utayari wa kuwapokea askari wa Russia au kuiruhusu nchi hiyo ianzishe kituo cha kijeshi katika ardhi zao.

  • Sherehe za kutiwa saini makubaliano ya Amani CAR sasa kufanyika Jumanne

    Sherehe za kutiwa saini makubaliano ya Amani CAR sasa kufanyika Jumanne

    Feb 04, 2019 04:25

    Sherehe za kuanza utekelezaji wa makubaliano ya amani baina ya serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati na makundi 14 yenye silaha zilizopangwa kufanyika jana Jumapili, zimeakhirishwa na sasa zitafanyika kesho Jumanne mjini Khartoum, Sudan. Mwenyeji wa makubaliano hayo yaani serikali ya Sudan imesema kuwa, saini ya mwisho ya makubaliano hayo itatiwa baadaye, ingawa haikusema ni lini hasa.

  • Al Bashir: Utawala haubadilishwi kwa WhatsApp na Facebook

    Al Bashir: Utawala haubadilishwi kwa WhatsApp na Facebook

    Feb 01, 2019 03:59

    Rais Omar al Bashir wa Sudan amekemea maandamano yanayoendelea kufanywa na wananchi katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo dhidi ya serikali yake na kusema kuwa utawala hauwezi kubadilishwa kwa kutumia njia kama za WhatsApp na Facebook bali kupitia madanduku ya kupigia kura.

  • Vyombo vya usalama Sudan vyamwachia huru Naibu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani

    Vyombo vya usalama Sudan vyamwachia huru Naibu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani

    Jan 30, 2019 11:13

    Vyombo vya usalama vya serikali ya Sudan vimemwachia huru Naibu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani cha Umma Mariam Sadiq al-Mahdi.

  • Waandishi wa habari na wasomi Misri waunga mkono maandamano ya wananchi wa Sudan

    Waandishi wa habari na wasomi Misri waunga mkono maandamano ya wananchi wa Sudan

    Jan 27, 2019 23:15

    Waandishi wa habari na wasomi nchini Misri wametoa taarifa ya kuunga mkono maandamano ya wananchi wa Sudan dhidi ya utawala wa rais Omar al Bashir.

  • Makabiliano ya Saudia na Qatar nchini Sudan

    Makabiliano ya Saudia na Qatar nchini Sudan

    Jan 27, 2019 08:22

    Baada ya safari ya siku mbili ya Rais Omar al-Bashir wa Sudan mjini Doha, Qatar Mfalme wa Saudia pia alituma ujumbe huko Sudan ulioongozwa na mmoja wa mawaziri wake kwa ajili ya kukutana na al-Bashir.

  • Wahandisi wajiunga na maandamano ya wapinzani nchini Sudan

    Wahandisi wajiunga na maandamano ya wapinzani nchini Sudan

    Jan 24, 2019 12:26

    Kundi la wahandishi wa Sudan limejiunga na maandamano ya kupinga serikali ya nchi hiyo katika mji mkuu Khartoum.

  • Waandamanaji waendelea kuuawa Sudan, serikali yavituhumu vyama vya mrengo wa kushoto

    Waandamanaji waendelea kuuawa Sudan, serikali yavituhumu vyama vya mrengo wa kushoto

    Jan 21, 2019 23:52

    Idadi ya watu waliouawa kwa kupigwa risasi nchini Sudan katika "Maandamano ya Mkate" inaendelea kuongezeka baada ya kufariki dunia mwanafunzi wa chuo kikuu aliyepigwa risasi kichwani.

  • Mazungumzo ya kusaka amani CAR kufanyika Khartoum, Sudan

    Mazungumzo ya kusaka amani CAR kufanyika Khartoum, Sudan

    Jan 20, 2019 10:39

    Duru mpya ya mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) na makundi 14 ya upinzani imepangwa kufanyika wiki ijayo mjini Khartoum, Sudan.

  • Wasudan waendeleza maandamano ya mkate, polisi yaua watu watatu

    Wasudan waendeleza maandamano ya mkate, polisi yaua watu watatu

    Jan 18, 2019 12:35

    Maandamano ya kumtaka Rais Omar Hassan al Bashir wa Sudan ang'atuke madarakani yameendelea mapema leo Ijumaa katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo baada ya mauaji ya watu watatu waliopigwa risasi na polisi katika maandamano ya jana mjini Khartoum.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS