Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • Wapinzani S/Kusini wakaribisha mazungumzo ya kitaifa

    Wapinzani S/Kusini wakaribisha mazungumzo ya kitaifa

    Dec 16, 2016 12:05

    Wapinzani wa serikali ya Sudan Kusini wameunga mkono kufanyika mazungumzo ya kitaifa nchini humo.

  • Mchanganuzi: US, UK na Israel zimezitelekeza Sudan mbili baada ya kuzitenganisha

    Mchanganuzi: US, UK na Israel zimezitelekeza Sudan mbili baada ya kuzitenganisha

    Dec 15, 2016 10:43

    Katika hali ambayo Sudan Kusini inatimiza miaka mitatu ya mapigano, machafuko na uhasama, wachanganuzi wa mambo wanasema kuwa, Marekani, Uingereza na Israel zimeitelekeza nchi hiyo na jirani yake Sudan, licha ya kuhusika moja kwa moja katika mpango wa kuzitenganisha.

  • Rais wa Sudan Kusini ataka kufanyika Mazungumzo ya Kitaifa

    Rais wa Sudan Kusini ataka kufanyika Mazungumzo ya Kitaifa

    Dec 15, 2016 00:49

    Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ametoa wito wa kufanyika 'Mazungumzo ya Kitaifa' ili kuupatia ufumbuzi mzozo wa kisiasa na kiusalama unaoikabili nchi hiyo.

  • UN yataka kutumwa askari wa kulinda amani Sudan Kusini

    UN yataka kutumwa askari wa kulinda amani Sudan Kusini

    Dec 14, 2016 10:44

    Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kutumwa askari wa kulinda amani nchini Sudan Kusini, ili kuzuia nchi hiyo isitumbukie katika mauaji ya kimbari kama yale yaliyoshuhudiwa nchini Rwanda mwaka 1994.

  • Kikao cha viongozi wa IGAD cha kujadili amani ya eneo

    Kikao cha viongozi wa IGAD cha kujadili amani ya eneo

    Dec 11, 2016 03:38

    Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ustawi wa Mashariki mwa Afrika IGAD wamekutana katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa kwa kikao cha 29 cha dharura ambacho kimefanyika kwa uenyekiti wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Hailemariam Desalegn kujadili amani na uthabiti wa eneo hasa katika nchi za Sudan Kusini na Somalia.

  • AU yaitaka Sudan Kusini ipambane na ukatili dhidi ya wanawake

    AU yaitaka Sudan Kusini ipambane na ukatili dhidi ya wanawake

    Dec 09, 2016 23:32

    Umoja wa Afrika umeitaka serikali ya Sudan Kusini ichukue hatua madhubuti za kupambana na ukatili dhidi ya wanawake nchini humo.

  • UN: Idadi ya watu ambayo 'haijawahi kushuhudiwa' wanakabiliwa na baa kubwa la njaa Sudan Kusini

    UN: Idadi ya watu ambayo 'haijawahi kushuhudiwa' wanakabiliwa na baa kubwa la njaa Sudan Kusini

    Dec 03, 2016 04:17

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa watu wapatao milioni tatu na laki sita wanakabiliwa na uhaba mkubwa mno wa chakula nchini Sudan Kusini ambao ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kushuhudiwa katika msimu wa mavuno, huku hali hiyo ikitazamiwa kuwa mbaya zaidi ifikapo mwakani baada ya chakula cha mavuno ya sasa kumalizika.

  • Indhari ya UN juu ya uwezekano wa kutokea mauaji ya kimbari Sudan Kusini

    Indhari ya UN juu ya uwezekano wa kutokea mauaji ya kimbari Sudan Kusini

    Dec 02, 2016 13:01

    Kutokana na kuendelea mapigano nchini Sudan Kusini kuna hatari ya kutokea mauaji ya kimbari nchini humo.

  • UN yatahadharisha kuhusu mauji ya kimbari Sudan Kusini

    UN yatahadharisha kuhusu mauji ya kimbari Sudan Kusini

    Dec 02, 2016 00:54

    Mjumbe wa Baraza la Haki za binadamu la Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini amesema baada ya kuitembelea nchi hiyo kuwa, kumetokea mauaji ya kimbari katika maeneo kadhaa ya Sudan Kusini.

  • UN yatiwa wasiwasi na kuongezeka machafuko Sudan Kusini

    UN yatiwa wasiwasi na kuongezeka machafuko Sudan Kusini

    Dec 01, 2016 03:51

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa una wasiwasi na kushtadi machafuko ya kikabila huko Sudan Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS