-
Waliouawa katika mapigano ya hivi karibuni S/Kusini waongezeka
Jul 01, 2016 10:47Waziri wa Habari wa Sudan Kusini amesema kuwa, idadi ya watu waliouawa katika mapigano ya hivi karibuni nchini humo imeongezeka.
-
Makumi wauawa katika mapigano kati ya jeshi na waasi Sudan Kusini
Jun 29, 2016 08:53Makumi ya watu wameuawa katika wimbi jipya la mapigano kati ya askari wa jeshi la serikali na waasi katika mji wa Wau nchini Sudan Kusini.
-
Sudan Kusini yazidi kuzama katika dimbwi la vita vya ndani
Jun 26, 2016 10:43Mapigano makali ya silaha baina ya jeshi la serikali na makundi ya waasi yameshadidi katika mji wa Wau ulioko katika jimbo la Bahr el Ghazal nchini Sudan Kusini.
-
Angola, Misri kuishawishi UN kuziondolea vikwazo CAR na S/Kusini
Jun 21, 2016 23:34Angola na Misri zimesema zitazishawishi nchi wanachama wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zikubali wazo la kuondolewa vikwazo Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan Kusini.
-
Kuanza mazungumzo baina ya Sudan na Sudan Kusini
Jun 06, 2016 22:03Mazungumzo kati ya maafisa wa Sudan na Sudan Kusini yalianza tena jana Jumatatu ya tarehe 6 Juni katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum.
-
S/Kusini yabuni kamati ya kuanisha hatima ya majimbo 28
Jun 04, 2016 03:13Sudan Kusini imebuni kamati maalumu ya kuanisha hatima ya majimbo 18 ya ziada yaliyotangazwa mwishoni mwa mwaka uliopita 2015 na Rais Salva Kiir.
-
UN: Huenda Sudan Kusini ikawekewa vikwazo vipya
Jun 01, 2016 02:18Umoja wa Mataifa umesema Sudan Kusini ipo katika ncha ya kuwekewa vikwazo vipya na jamii ya kimataifa kutokana na mwendo wa kinyonga wa kutekeleza makubaliano ya amani yaliyofikiwa mwaka jana.
-
Umoja wa Ulaya walaani vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu Sudan Kusini
May 24, 2016 03:18Umoja wa Ulaya umelaani vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu katika nchi changa zaidi barani Afrika ya Sudan Kusini.
-
Umoja wa Ulaya walaani vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu Sudan Kusini
May 24, 2016 02:09Umoja wa Ulaya umelaani vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu katika nchi changa zaidi barani Afrika ya Sudan Kusini.
-
UN yaitaka Sudan Kusini itekeleze ahadi ya kufuatilia jinai za ukatili wa kingono
May 12, 2016 10:57Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Ukatili wa Kingono Katika Migogoro ameutaka uongozi mkuu wa serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa ya Sudan Kusini utekeleze ahadi ulizotoa za kufuatilia jinai za ukatili wa kingono zilizofanywa nchini humo.