-
Mgombea urais Ufaransa: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria ni kitendo cha jinai
Apr 10, 2017 02:39Mgombea urais wa Ufaransa kwa tiketi ya chama cha mrengo wa kushoto amesema kuwa mashambulizi yaliyofanywa siku chache zilizopita na Marekani dhidi ya Syria ni kitendo cha jinai na kisicho cha kuwajibuka na kwamba Rais wa nchi hiyo, Donald Trump amefanya makosa makubwa.
-
Rouhani na Putin walaani vikali mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria
Apr 09, 2017 23:29Rais Hassan Rouhani wa Iran na mwenzake wa Russia Vladimir Putin wamelaani vikali hatua ya Marekani ya kukishambulia kituo cha kijeshi cha Syria kwa makombora na kusema kuwa kitendo hicho kilifanyika ili kuyapa motisha na kuyaunga mkono magenge ya kigaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Netanyahu: Tutaendelea kuwapa matibabu magaidi wa Syria
Apr 09, 2017 23:09Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amesema Tel Aviv itaendelea kuwapa matibabu magaidi wanaojeruhiwa katika harakati zao za kujaribu kuingusha serikali halali ya Rais Bashar al-Assad wa Syria.
-
Mazungumzo ya Simu ya Marais Rouhani wa Iran na Assad wa Syria
Apr 09, 2017 09:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine amelani uvamizi wa Marekani katika nchi huru ya Syria na kuitaja hatua hiyo kuwa ukiukwaji wa sheria na mikataba ya Umoja wa Mataifa.
-
Kiongozi Muadhamu: Hujuma ya Marekani Syria ni kosa la kistratijia
Apr 09, 2017 12:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria hujuma ya hivi karibuni ya Marekani nchini Syria na kusema: "Ni jambo linalotarajiwa kwa Marekani kutenda jinai na kukiuka mambo na kudhulumu na imewahi kuyafanya hayo katika maeneo mengine duniani."
-
Larijani: Litaundwa kundi la kuchunguza shambulio la kemikali huko Syria
Apr 09, 2017 02:33Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge amelaani mashambulizi ya makombora ya Marekani huko Syria kwa kisingizio cha kutekelezwa shambulio la kemikali nchini humo na kutaka kuundwa kundi la kuchunguza suala hilo.
-
Makundi yanayoipinga serikali ya Syria yanaendesha propaganda dhidi yake
Apr 09, 2017 02:27Kundi moja kwa jina la "Kofia Nyeupe" limetoa mkanda bandia wa video kuhusu shambulio la kemikali lililotekelezwa hivi karibuni katika mji wa Khan Sheikhoun nchini Syria.
-
Trump aliwahi kuandika mara 45 katika twitter kuwa kuishambulia kijeshi Syria ni wazo baya
Apr 08, 2017 22:11Rais Donald Trump wa Marekani ameonyesha migongano ya wazi katika kauli na vitendo vyake kwa kuamuru kushambuliwa kijeshi kituo cha anga cha jeshi la Syria katika mkoa wa Homs magharibi mwa nchi hiyo.
-
Zarif: Shambulizi la Marekani dhidi ya Syria ni uzushi hatari sana
Apr 08, 2017 22:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa shambulizi la makombora lililofanywa na Marekani dhidi ya Syria ni kinyume na sheria za kimataifa na uzushi hatari sana.
-
Wamarekani waandamana kupinga mashambulizi ya nchi hiyo dhidi ya Syria
Apr 08, 2017 11:21Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo wakipinga sera za kupenda vita na ubabe za serikali ya Rais mpya wa nchi hiyo, Donald Trump.