Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Wapinzani wa Syria wakataa mapendekezo ya mjumbe wa UN

    Wapinzani wa Syria wakataa mapendekezo ya mjumbe wa UN

    Mar 28, 2017 11:51

    Duru za kuaminika zimeripoti kuwa ujumbe wa wapinzani wa serikali ya Syria katika mazungumzo ya amani ya nchi hiyo umeikataa hati ya mapendekezo iliyowasilishwa na mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya nchi hiyo Staffan De Mistura.

  • Mazungumzo ya Geneva-5 yaanza rasmi kuhusu mgogoro wa Syria

    Mazungumzo ya Geneva-5 yaanza rasmi kuhusu mgogoro wa Syria

    Mar 24, 2017 11:28

    Mazungumzo rasmi yajulikanayo kwa jina la Geneva-5 yameanza nchini Uswisi kati ya Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria na makundi mengine yanayoshiriki kwenye mazungumzo hayo.

  • Syria: Saudia, Uturuki na Qatar zina mkono katika mapigano yanayojiri mashariki mwa Damascus

    Syria: Saudia, Uturuki na Qatar zina mkono katika mapigano yanayojiri mashariki mwa Damascus

    Mar 24, 2017 00:03

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesema Saudi Arabia, Uturuki na Qatar zinahusika katika kukoleza moto wa mapigano yanayoendelea katika viunga vya mji mkuu wa nchi hiyo Damascus baina ya vikosi vya serikali na makundi ya kigaidi ya ukufurishaji yanayofadhiliwa na madola ya kigeni.

  • Syria yawasilisha barua za malalamiko UN kulaani mauaji ya muungano wa Marekani nchini humo

    Syria yawasilisha barua za malalamiko UN kulaani mauaji ya muungano wa Marekani nchini humo

    Mar 23, 2017 11:53

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria, sambamba na kutuma barua mbili za malalimiko yake kwa Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo, limekosoa vikali operesheni za mauaji zinazofanywa na muungano unaoongozwa na Marekani nchini humo.

  • Watu 33 wauawa katika hujuma ya anga ya Marekani nchini Syria

    Watu 33 wauawa katika hujuma ya anga ya Marekani nchini Syria

    Mar 22, 2017 11:46

    Makumi ya raia wameuawa katika shambulio la anga la muungano wa kijeshi wa Marekani katika mkoa wa kaskazini wa Raqqah nchini Syria.

  • Marekani kutuma zana mpya za kivita nchini Syria

    Marekani kutuma zana mpya za kivita nchini Syria

    Mar 22, 2017 03:05

    Marekani imeazimia kupeleka zana zake mpya za kivita nchini Syria sambamba na kutuma askari wengine 1,000 nchini humo.

  • Jeshi la Syria latungua tena ndege isiyo na rubani ya Israel katika anga yake

    Jeshi la Syria latungua tena ndege isiyo na rubani ya Israel katika anga yake

    Mar 21, 2017 04:10

    Jeshi la Anga la Syria limetungua ndege ya upelelezi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, baada ya kukiuka anga ya Syria na kuingia kwenye ardhi ya nchi hiyo.

  • Israel yafedheheka kwa kutunguliwa ndege yake ya vita huko Syria

    Israel yafedheheka kwa kutunguliwa ndege yake ya vita huko Syria

    Mar 19, 2017 23:30

    Kufuatia hatua ya hivi karibuni ya kikosi cha Jeshi la Anga la Syria kutungua ndege ya kivita ya utawala haramu wa Israel baada ya ndege hiyo kuingia anga ya Syria, Avigdor Lieberman, Waziri wa Vita wa Israel ametishia kushambulia vituo vya silaha za kutungulia ndege vya Syria.

  • Iran yalaani hujuma ya Marekani katika msikiti nchini Syria

    Iran yalaani hujuma ya Marekani katika msikiti nchini Syria

    Mar 19, 2017 00:20

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya ndege za kivita za Marekani kuushambulia kwa mabomu msikiti mmoja katika kitongoji kimoja cha mji wa Halab (Aleppo) nchini Syria.

  • Wapalestina waliunga mkono jeshi na serikali ya Syria

    Wapalestina waliunga mkono jeshi na serikali ya Syria

    Mar 18, 2017 12:20

    Mwakilishi wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina hapa mjini Tehran amesema kuwa, makundi ya muqawama ya Palestina yanaliunga mkono jeshi na serikali ya Syria katika kukabiliana na uchokozi wa utawala wa Kizayuni na pia kukomboa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS