-
Russia yamuita Balozi wa Israel kuhusu shambulio dhidi ya Syria
Mar 18, 2017 03:40Russia imemuita Balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel mjini Moscow ajieleza kuhusu hatua ya jeshi la utawala huo kuhujumu anga ya Syria sambamba na kutekeleza mashambulizi kadhaa katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Syria: Shambulizi la Israel ni jaribio la kuwapa motisha magaidi
Mar 17, 2017 23:20Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemwandikia barua Karibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu shambulizi lililofanywa na utawala haramu wa Israel katika ardhi ya nchi hiyo na kusema ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na mamlaka ya kujitawala ya Syria.
-
Jeshi la Syria latungua ndege ya kivita ya Israel wakati ikiwasaidia lSIS, lsrael yapatwa na wasi wasi mkubwa
Mar 17, 2017 15:09Komandi kuu ya jeshi la Syria imetangaza kuwa kikosi cha anga cha jeshi la nchi hiyo kimetungua ndege ya kivita ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wakati ilipokuwa katika safari yake kuelekea mji wa Palmyra, magharibi mwa mji wa Homs kuwasaidia magaidi walioshindwa wa Daeish.
-
Shambulio la anga la Marekani laua watu 42 na kujeruhi 100 msikitini Syria
Mar 17, 2017 04:09Raia wasiopungua 42 wameuawa katika shambulio la anga la jeshi la Marekani lililolenga msikiti uliojaa waumini ndani yake karibu na mji wa Halab (Aleppo) kaskazini mwa Syria. Watu wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa katika shambulio hilo lililofanywa katika kijiji cha al-Jineh kilichopo kilomita 30 magharibi mwa mji wa Halab.
-
Jeshi la Syria lakomboa misikiti mitatu toka mikononi mwa Daesh
Mar 15, 2017 03:38Jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Syria vimekomboa misikiti mitatu iliyokuwa chini ya udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, mashariki mwa mji wa Damascus.
-
UNICEF: Watoto zaidi ya 600 wameuawa nchini Syria 2016
Mar 14, 2017 22:59Mfuko wa Kushughulikia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umesema mamia ya watoto waliuawa mwaka jana 2016 katika mgogoro wa Syria, mwaka unaotajwa kuwa mbaya zaidi kuuliwa watoto nchini humo.
-
Iran, Hizbullah zalaani hujuma ya kigaidi mjini Damascus
Mar 12, 2017 03:57Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyofanyika jana Jumamosi katika mji wa Damascus nchini Syria, ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Assad: Wanajeshi wa Marekani, Uturuki wamevamia Syria
Mar 11, 2017 23:30Rais Bashar Assad wa Syria amesema wanajeshi wote wa kigeni waliongia nchini humo bila idhini ya seirikali ya Damascus ni wavamizi.
-
Baraza la Usalama lataka kikao cha Astana kwa ajili ya Syria kiendelee
Mar 11, 2017 03:43Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetangaza kuyatambua na kuyaunga mkono mazungumzo ya Astana kwa ajili ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa Syria huku likitoa mwito wa kuendelea mazungumzo hayo.
-
Maelfu ya Wasyria wamekuwa wakimbizi kaskazini mwa nchi
Mar 05, 2017 11:53Shirika la Kuratibu Misaada ya Kibinadamu la Umoja wa Mataifa (OCHA) limeripoti kuwa maelfu ya raia wa Syria wamekuwa wakimbizi katika maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo.