Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Guterres: Mgogoro wa Syria ni saratani ya kimataifa

    Guterres: Mgogoro wa Syria ni saratani ya kimataifa

    Dec 29, 2016 03:41

    Katibu Mkuu mteule wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema mgogoro wa Syria umegeuka na kuwa 'saratani ya kimataifa.'

  • Syria yaendeleza oparesheni dhidi ya magaidi karibu na Damascus

    Syria yaendeleza oparesheni dhidi ya magaidi karibu na Damascus

    Dec 27, 2016 23:21

    Jeshi la Syria limeanzisha oparesheni kali ya kuwapokonya magaidi udhibiti wa eneo la kistratijia karibu na Damascus ambalo lina chemichemi ambayo maji yake yanatumika katika mji mkuu huo.

  • Iran yatuma misaada zaidi ya kibinaadamu Aleppo, Syria

    Iran yatuma misaada zaidi ya kibinaadamu Aleppo, Syria

    Dec 27, 2016 11:49

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma shehena zingine mbili za misaada ya kibinadamu katika mji wa Aleppo (Halab) uliokombolewa hivi karibuni kutoka mikononi mwa magaidi wakufurishaji.

  • Saudia inaendelea kutoa misaada ya kifedha kwa magaidi Syria

    Saudia inaendelea kutoa misaada ya kifedha kwa magaidi Syria

    Dec 27, 2016 11:17

    Saudia Arabia hivi karibuni imetoa msaada mwingine wa Riali Milioni 100 za Kisaudi ($ Milioni 26.5) kwa ajili ya magaidi nchini Syria.

  • Iran na Russia; juhudi za kidiplomasia za kuanzisha mazungumzo ya kisiasa kuhusu Syria

    Iran na Russia; juhudi za kidiplomasia za kuanzisha mazungumzo ya kisiasa kuhusu Syria

    Dec 25, 2016 09:28

    Jitihada za kidiplomasia zinafanyika tena kwa ajili ya kuanzisha mazungumzo ya kisiasa huko Syria baada ya kukombolewa mji wa kistratejia wa Halab (Aleppo) kutoka mikononi mwa magaidi wa Daesh.

  • Russia kuimarisha nguvu zake za kijeshi nchini Syria

    Russia kuimarisha nguvu zake za kijeshi nchini Syria

    Dec 24, 2016 12:14

    Mbunge mmoja wa Russia amesema kuwa, Moscow imeamua kuimarisha nguvu zake za kijeshi nchini Syria.

  • Putin ampongeza Bashar Assad kwa kukombolewa kikamilifu Aleppo

    Putin ampongeza Bashar Assad kwa kukombolewa kikamilifu Aleppo

    Dec 23, 2016 23:37

    Rais Vladimir Putin wa Russia amempigia simu mwenzake wa Syria, Bashar al-Assad, na kumpongeza kutokana na kukombolewa kikamilifu mji wa Aleppo (Halab), uliokuwa ukishikiliwa na magaidi huko kaskazini mwa Syria.

  • Ayatullah Siddiqi: Kukombolewa Aleppo ni ushindi kwa Waislamu wote duniani

    Ayatullah Siddiqi: Kukombolewa Aleppo ni ushindi kwa Waislamu wote duniani

    Dec 23, 2016 12:55

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amepongeza wanajeshi wa Syria na vikosi vya vya kujitolea vya wananchi kwa kuukomboa mji wa Aleppo (Halab) uliokuwa ukishikiliwa na magaidi huko kaskazini mwa Syria, na kubainisha kuwa, ushindi huo sio tu wa taifa la Syria bali ni ushindi pia kwa Waislamu wote duniani.

  • Ndege za kivita za Uturuki zauwa raia kaskazini mwa Syria

    Ndege za kivita za Uturuki zauwa raia kaskazini mwa Syria

    Dec 23, 2016 03:18

    Makumi ya raia wameuliwa katika mashambulizi ya ndege za kivita za Uturuki kaskazini mwa Syria.

  • Magaidi wasafishwa kikamilifu katika mji wa Halab Syria, wananchi washerehekea + Video

    Magaidi wasafishwa kikamilifu katika mji wa Halab Syria, wananchi washerehekea + Video

    Dec 23, 2016 00:35

    Mji wa Halab yaani Aleppo huko kaskazini mwa Syria hivi sasa umesafishwa kikamilifu baada ya magaidi kufurushwa katika mji huo baada ya kuteka baadhi ya maeneo yake na kufanya jinai kwa muda wa zaidi ya miaka minne.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS