Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Assad: Kukombolewa Aleppo ni ushindi kwa Syria, Iran na Russia

    Assad: Kukombolewa Aleppo ni ushindi kwa Syria, Iran na Russia

    Dec 22, 2016 11:15

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kukombolewa kikamilifu mji wa kistratejia wa Aleppo (Halab), kaskazini magharibi mwa nchi ni ushindi mkubwa sio tu kwa taifa hilo, bali pia kwa Iran na Russia.

  • Syria yataja majina ya maafisa wa kigeni iliowatia mbaroni Halab; wamo Wamarekani, Wazayuni, Wasaudia

    Syria yataja majina ya maafisa wa kigeni iliowatia mbaroni Halab; wamo Wamarekani, Wazayuni, Wasaudia

    Dec 21, 2016 05:08

    Jeshi la Syria limefanikiwa kuwatia mbaroni maafisa wengi wa kigeni waliokuwa wanashirikiana na magaidi kufanya jinai dhidi ya wananchi na maafisa wa serikali ya nchi hiyo, huko mashariki mwa mji uliokombolewa wa Halab.

  • Dakta Zarif: Iran, Russia na Uturuki zimesisitiza juu ya kuhifadhiwa ardhi yote ya Syria

    Dakta Zarif: Iran, Russia na Uturuki zimesisitiza juu ya kuhifadhiwa ardhi yote ya Syria

    Dec 21, 2016 03:45

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kikao cha pande tatu cha Iran, Russia na Uturuki kilichofanyika Moscow mji mkuu wa Russia kimesisitiza juu ya kuhitimishwa mgogoro wa Syria kupitia mazungumzo ya kisiasa.

  • Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa ushirikiano wa Iran na Russia katika kuwasaidia wananchi wa Syria

    Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa ushirikiano wa Iran na Russia katika kuwasaidia wananchi wa Syria

    Dec 20, 2016 00:43

    Marais wa Iran na Russia wamesisitizia udharura wa kuwasaidia wananchi wa Syria.

  • Ayatullah Amoli Larijani: Syria si mahala salama tena kwa magaidi

    Ayatullah Amoli Larijani: Syria si mahala salama tena kwa magaidi

    Dec 19, 2016 23:36

    Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kuwa, Syria si mahala salama tena kwa magaidi na waungaji mkono wao wa Mashariki ya Kati na wa nje ya eneo hili.

  • Maeneo ya Halab nchini Syria yazidi kupata utulivu

    Maeneo ya Halab nchini Syria yazidi kupata utulivu

    Dec 19, 2016 00:54

    Mji wa Halab wa kaskazini mwa Syria umezidi kuwa na utulivu baada ya makundi ya kigaidi kufurushwa mjini humo.

  • Mufti Mkuu wa Syria aishukuru Iran kwa misaada yake

    Mufti Mkuu wa Syria aishukuru Iran kwa misaada yake

    Dec 15, 2016 10:48

    Mufti Mkuu wa Syria ameishukuru Iran kwa misaada yake kwa wakazi wa mji wa Halab (Aleppo) kaskazini mwa Syria.

  • Marekani, mhusika wa kujitokeza ugaidi katika Mashariki ya Kati

    Marekani, mhusika wa kujitokeza ugaidi katika Mashariki ya Kati

    Dec 15, 2016 08:11

    Vitalin Churkin, balozi na mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema uingiliaji wa Marekani katika nchi za Iraq na Syria ndio uliosababisha kujitokeza Daesh na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati. Churkin aidha amesema Uingereza na Ufaransa ni washirika wa jinai za Marekani katika kuvuruga amani Mashariki ya Kati.

  • Kukombolewa Halab ni ushindi mkubwa na wa kistratejia

    Kukombolewa Halab ni ushindi mkubwa na wa kistratejia

    Dec 15, 2016 00:37

    Kufuatia kukombolewa kikamilifu mji wa Halab au kwa jina jingine Aleppo kutoka mikononi mwa magaidi wa kitakfiri, wakazi wa mji huo siku ya Jumanne walimiminika mabarabarani na mitaani kusherehekea kwa vifijo na nderemo ushindi huo mkubwa na wa kistratijia.

  • Assad: Wamagharibi wanawapa himaya magaidi na sio raia

    Assad: Wamagharibi wanawapa himaya magaidi na sio raia

    Dec 15, 2016 00:52

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema serikali za nchi za Magharibi zinawapa himaya na kuwakingia kifua magaidi wanaofanya jinai nchini humo na wala hazijali hali ya raia wa kawaida wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS