-
Russia: Marekani inafanya propaganda chafu kuhusu hospitali za Aleppo
Nov 20, 2016 00:54Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa, madai ya kushambuliwa hospitali katika mji wa Aleppo nchini Syria ni wenzo wa kipropaganda unaotumiwa na Marekani dhidi ya serikali ya Moscow.
-
Rais Assad: Sina imani na Trump lakini akiwa na nia ya kweli ya kupambana na ugaidi, Syria itashirikiana naye
Nov 17, 2016 01:13Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, ikiwa Donald Trump, rais mteule wa Marekani atapambana kwa dhati na magaidi, basi serikali yake itashirikiana naye.
-
UN yawasilisha mpango wa kuunusuru mji wa Aleppo, Syria
Nov 11, 2016 11:51Mshauri wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa huko Syria amesema kuwa umoja huo umewasilisha mpango wenye vipengee vinne kwa ajili ya kuunusuru mji wa Aleppo kutoka katika udhibiti wa magaidi.
-
Syria: Jinai za magaidi zitakoma kwa kusimamishwa misaada wanayopata kutoka nje
Nov 11, 2016 04:32Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesema jinai za makundi ya kigaidi dhidi ya raia wasio na hatia wa nchi hiyo zitakoma pale tu utakapohitimishwa uungaji mkono na misaada kutoka nje inayotolewa kwa magaidi hao.
-
Zarif: Msaada wa kibinadamu kwa Yemen na Syria, jambo la dharura
Nov 10, 2016 10:42Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema msaada wa kibinadamu kwa ajili ya watu wa Yemen na Syria ni jambo la dharura.
-
Putin: Syria ni uwanja wa kudhihirisha azma ya dunia ya kupambana na ugaidi
Nov 10, 2016 03:35Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, Syria ni medani ya kuonesha azma na ustahiki wa jamii ya kimataifa kwa ajili ya kupambana na ugaidi.
-
Manowari za Russia kushambulia magaidi Aleppo, Syria
Nov 09, 2016 04:37Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema hii leo vikosi vyake vya majini vitaanzisha operesheni kali ya kuangamiza magaidi katika mji wa Aleppo nchini Syria.
-
Zarif asisitiza kukomeshwa mauaji ya raia katika nchi za Syria na Yemen
Nov 08, 2016 23:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametaka kukomeshwa mara moja mauaji ya raia katika nchi za Syria na Yemen.
-
Operesheni ya kuukomboa mji wa Raqqah Syria yaanza
Nov 07, 2016 00:46Askari wa chama cha Umoja wa Kidemokrasia cha Wakurdi wa Syria kimeanzisha operesheni ya kuukomboa mji wa Raqqah wa kaskazini mwa Syria kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Magaidi 500 wauawa, 1000 wajeruhiwa Aleppo chini ya masaa 24
Oct 30, 2016 03:43Mamia ya magaidi wameangamizwa na jeshi la Syria likishirikiana na vikosi vya kujitolea vya wananchi mjini Aleppo, kusini mashariki mwa nchi, chini ya masaa 24 yaliyopita.