Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Magaidi 600 wajisalimisha kwa jeshi la Syria

    Magaidi 600 wajisalimisha kwa jeshi la Syria

    Oct 24, 2016 00:10

    Magaidi 600 na watu wenye silaha wamejisalimisha kwa jeshi la Syria magharibi mwa Damascus mji mkuu wa nchi hiyo.

  • Syria: Magaidi wanazuia raia kutoka mji wa Aleppo

    Syria: Magaidi wanazuia raia kutoka mji wa Aleppo

    Oct 21, 2016 10:23

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wanawazuia raia kuugura mji wa Aleppo, ambao kwa sasa unashuhudia makabiliano makali kati ya vikosi vya serikali na magenge ya kigaidi.

  • Mufti wa Syria awataka magaidi kujisalimisha huko Aleppo

    Mufti wa Syria awataka magaidi kujisalimisha huko Aleppo

    Oct 21, 2016 01:12

    Mufti wa Syria amewataka magaidi walioko nchini humo kujisalimisha wenyewe kabla ya kuanza operesheni kubwa na ya pande zote ya jeshi la nchi hiyo ya kukomboa kikamilifu maeneo yote ya mji huo.

  • Russia yaionya Marekani dhidi ya kuwatoa magaidi Iraq hadi Syria

    Russia yaionya Marekani dhidi ya kuwatoa magaidi Iraq hadi Syria

    Oct 20, 2016 00:34

    Russia imeionya Marekani dhidi ya kuwafurusha wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh kutoka Iraq hadi Syria, katika mashambulizi yake ya kuukomboa mji wa Mosul, kaskazini mwa Iraq.

  • Assad: Mashambulizi ya Aleppo yanalenga kuwapa usalama raia

    Assad: Mashambulizi ya Aleppo yanalenga kuwapa usalama raia

    Oct 19, 2016 11:53

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwaangamiza magaidi katika mji wa Aleppo, kaskazini magharibi mwa nchi ndio chagua la pekee na la kisheria la kuwadhaminia usalama raia.

  • Rais Assad: Saudia ilinipa sharti la kukata uhusiano na Iran ili niwe muitifaki wake

    Rais Assad: Saudia ilinipa sharti la kukata uhusiano na Iran ili niwe muitifaki wake

    Oct 15, 2016 04:54

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amefichua kuwa, Saudi Arabia ilimpa sharti la kukata uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ili iwe mwitifaki wake sanjari na kupata misaada yake.

  • Russia: Hatuna matumaini ya kufanikiwa mazungumzo ya Lausanne

    Russia: Hatuna matumaini ya kufanikiwa mazungumzo ya Lausanne

    Oct 15, 2016 00:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametabiri kuwa mazungumzo yatakayofanyika leo (Jumamosi) katika mji wa Lausanne nchini Uswisi kuhusu Syria hayatakuwa na natija ya maana.

  • Saudia ilishambulia kwa makusudi kikao cha maombolezo mjini Sanaa

    Saudia ilishambulia kwa makusudi kikao cha maombolezo mjini Sanaa

    Oct 12, 2016 00:36

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Saudi Arabia ilishambulia kwa makusudi kikao cha khitma na maombolezo mjini Sanaa ambapo mamia ya watu waliuawa na kujeruhiwa siku ya Jumamosi.

  • Magaidi wa Kiwahabi washambulia shule Syria, waua wanafunzi

    Magaidi wa Kiwahabi washambulia shule Syria, waua wanafunzi

    Oct 11, 2016 11:50

    Magaidi wa Kiwahabi wamefanya shambulio dhidi ya shule moja kusini mwa Syria na kuua watoto kadhaa waliokuwa darasani.

  • Kuongezeka uungaji mkono wa Marekani kwa magaidi wa Syria

    Kuongezeka uungaji mkono wa Marekani kwa magaidi wa Syria

    Oct 11, 2016 03:11

    Duru za habari zimeripoti kuwa, baada ya dola la kibeberu la Marekani kuwapatia magaidi wa Syria makombora ya Grad, hivi sasa Washington imeyapa magenge hayo makombora ya kutungulia ndege ya kubeba begani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS