Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • NATO yatafakari kuingia vitani Syria, Iraq

    NATO yatafakari kuingia vitani Syria, Iraq

    Feb 12, 2016 12:10

    Shirika la Kijeshi la NATO linatafakari kuingia katika vita vinavyoendelea katika nchi za Syria na Iraq.

  • Russia: Kutuma vikosi vamizi Syria kutachochea Vita vya Dunia

    Russia: Kutuma vikosi vamizi Syria kutachochea Vita vya Dunia

    Feb 12, 2016 04:38

    Waziri Mkuu wa Russia ametahadharisha juu ya kutumwa vikosi vya kigeni nchini Syria na kusema kuwa hatua hiyo haitakuwa na tija nyingine ghairi ya kuchochea "Vita Vipya vya Dunia".

  • Majeshi ya Syria yazidi kupata ushindi Latakia

    Majeshi ya Syria yazidi kupata ushindi Latakia

    Feb 09, 2016 04:16

    Jeshi la Syria likisaidiwa na wananchi limefanikiwa kuwatimua wapiganaji wa makundi ya kigaidi katika vijiji vinne muhimu katika eneo la Latakia karibu na mpaka wa nchi hiyo na Uturuki.

  • UN yakosoa takwa la kuondolewa Assad madarakani

    UN yakosoa takwa la kuondolewa Assad madarakani

    Feb 08, 2016 05:53

    Kamati ya Kimataifa inayofanya uhakiki kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Syria imetangaza kuwa, msimamo unaosisitiza juu ya udharura wa kuondoka madarakani Rais Bashar Assad kabla ya kuanza mazungumzo ya amani, ni kizuizi katika njia ya kupambana na ugaidi.

  • Salami: Habari ya kutumwa askari wa Saudia nchini Syria ni utani wa kisiasa

    Salami: Habari ya kutumwa askari wa Saudia nchini Syria ni utani wa kisiasa

    Feb 07, 2016 04:30

    Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH) amesema habari ya uwezekano wa Saudi Arabia kutuma majeshi ya nchi kavu nchini Syria ni kichekesho na utani wa kisiasa.

  • Al- Muallem: Watakaoivamia Syria watarejeshwa makwao wakiwa kwenye majeneza

    Al- Muallem: Watakaoivamia Syria watarejeshwa makwao wakiwa kwenye majeneza

    Feb 06, 2016 11:31

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Walid al-Muallem amesema watakaoivamia ardhi ya Syria watarejeshwa makwao wakiwa kwenye majeneza.

  • Bahrain nayo yasema iko tayari kutuma askari Syria

    Bahrain nayo yasema iko tayari kutuma askari Syria

    Feb 06, 2016 04:22

    Utawala wa Aal-Khalifa umesema Bahrain iko tayari kutuma askari wake wa nchi kavu nchini Syria, eti kupambana na wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.

  • Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran mjini London

    Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran mjini London

    Feb 04, 2016 08:51

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif leo yuko mjini London, kufuatia mwaliko rasmi wa mwenzake wa Uingereza Phillip Hammond, kushiriki katika kikao cha kimataifa cha kuisaidia Syria na Mashariki ya Kati.

  • Zarif asisitiza umuhimu wa kuzingatia kadhia ya wakimbizi wa Syria

    Zarif asisitiza umuhimu wa kuzingatia kadhia ya wakimbizi wa Syria

    Feb 04, 2016 03:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametaka kuzingatiwa kadhia ya wakimbizi wa Syria na hali ngumu ya kibinadamu nchini humo.

  • Lavrov: Mashambulizi ya anga Syria yataendelea hadi kushindwa kikamilifu magaidi

    Lavrov: Mashambulizi ya anga Syria yataendelea hadi kushindwa kikamilifu magaidi

    Feb 03, 2016 23:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa Moscow itaendeleza mashambulizi yake ya anga huko Syria hadi pale makundi ya kigaidi yatakaposhindwa kikamilifu.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS