-
Shambulizi dhidi ya makao makuu ya Tume ya Uchaguzi Libya laua 14 + Video
May 02, 2018 14:58Kwa akali watu 14 wameuawa baada ya kundi la kigaidi kushambulia kwa mabomu na risasi makao makuu ya Tume ya Uchaguzi nchini Libya leo Jumatano.
-
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Gambia akimbia nchi baada ya kutishiwa maisha
Jan 04, 2017 07:10Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Gambia amekimbia nchi akihofiwa usalama wake.
-
Uganda yateua timu mpya kuongoza Tume ya Uchaguzi
Nov 18, 2016 08:12Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameteua timu mpya ya makamishna wa Tume ya Uchaguzi nchini humo EC, huku muda wa kuhudumu kwa makamishna wa sasa ukimalizika jana Alkhamisi.
-
Tume: Yumkini uchaguzi mkuu usifanyike mwezi ujao DRC
Oct 02, 2016 08:16Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema huenda uchaguzi mkuu usifanyike nchini humo mwezi ujao wa Novemba kama ilivyotarajiwa kutokana na sababu za kilojistiki.
-
Kuendelea mvutano wa kisiasa nchini Gabon
Sep 06, 2016 11:30Mvutano wa kisiasa inaendelea kushuhudiwa nchini Gabon licha ya kupita siku kadhaa tangu kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa Rais uliomrejesha tena madarakani Rais Ali Bongo.
-
Bunge la Ghana lakataa kubadilsha tarehe ya uchaguzi mkuu
Jul 22, 2016 14:41Bunge la Ghana limekataa kupasisha hoja ya kubadilisha tarehe ya uchaguzi mkuu nchini humo unaotazamiwa kufanyika baadaye mwaka huu.
-
Wapinzani Kenya wakaidi amri na kuandamana kupinga tume ya uchaguzi
May 09, 2016 15:19Wafuasi wa muungano wa upinzani wa Cord nchini Kenya wamekaidi amri ya serikali na kuibua ghasia nje ya makao makuu ya Tume Huru ya Uchaguzi IEBC mjini Nairobi.
-
Dakta Shein aapishwa kushika hatamu ya uongozi Zanzibar
Mar 24, 2016 16:23Rais mteule wa Zanzibar, Dakta Ali Mohamed Shein ameapishwa leo kushika hatamu ya uongozi visiwani humo. Dakta Shein ameapishwa leo kufuatia ushindi alioupata Jumapili iliyopita wa kura 299,982 sawa na asilimia 91.4 ya kura zote halali 328,327 zilizopigwa katika uchaguzi marudio.
-
Kamisheni ya Uchaguzi DRC yataka kusogezwa mbele uchaguzi
Mar 19, 2016 16:55Kamisheni ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetoa wito wa kusogezwa mbele tarehe ya uchaguzi wa Rais na Bunge.
-
Uchaguzi wa Rais nchini Niger waingia duru ya pili
Feb 28, 2016 07:38Uchaguzi wa Rais nchini Niger uliofanyika Jumapili iliyopita na kuwapambanisha wagombea 15 umeingia duru ya pili baada ya kukosekana mshindi katika duru ya kwanza.