-
Financial Times: Fungate ya Rais Kais Saied wa Tunisia inaelekea ukingoni
Nov 16, 2021 03:39Gazeti la Financial Time la Uingereza limeripoti kuwa wataalamu wanasema fungate ya Rais wa Tunisia itamalizika hivi karibuni kutokana na mashaka ya kushindwa kwake kupata suluhisho la haraka la mgogoro wa kiuchumi unaoisumbua nchi hiyo licha ya kuwa na uungaji mkono wa kiasi fulani kwa sasa.
-
Serikali ya Tunisia yaamuru kukamatwa rais wa zamani wa nchi hiyo kutokana na misimamo yake
Nov 05, 2021 07:50Maafisa wa serikali ya Tunisia wametoa amri ya kukamatwa rais wa zamani wa nchi hiyo Moncef Marzouki kutokana na misimamo yake inayopinga maamuzi yaliyochukuliwa na kiongozi wa sasa wa nchi hiyo, Kais Saied.
-
Moncef Marzouki: Saeid auzuliwe na kushtakiwa kwa kuangamiza utawala wa Sheria Tunisia
Oct 28, 2021 06:34Rais wa zamani wa Tunisia amewataka wananchi wa nchi hiyo wafanye maandamano ya kupinga maamuzi ya rais wa sasa wa nchi hiyo, Kais Saied, kumuondoa madarakani na kumfikisha mahakamani kwa tuhuma za kuangamiza serikali, mapinduzi ya wananchi na utawala wa sheria.
-
Rais wa Tunisia aahidi kuanzisha mazungumzo ya kitaifa nchini
Oct 22, 2021 06:05Rais Kais Saied wa Tunisia amesema kuwa karibuni ataanzisha mazungumzo ya kitaifa kwa ajili ya kufanyiwa marekebisho katiba na mfumo wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Kuapishwa Waziri Mkuu mpya wa Tunisia
Oct 12, 2021 23:00Hatimaye baada ya vuta nikuvute ya kisiasa ya majuma kadhaa nchini Tunisia, serikali mpya ya nchi hiyo imeapishwa ikiongozwa na mwanamama Najla Bouden Romdhane.
-
Maelfu ya watu waandamana nchini Tunisia kutaka Rais Kais Saied ajiuzulu
Oct 10, 2021 23:01Maelfu ya watu wamemiminika kwenye mitaa ya mji mkuu wa Tunisia, Tunis katika maandamano mapya ya kumtaka rais wa nchi hiyo Kais Saied ajiuzulu.
-
Rais wa zamani ataka maandamano makubwa dhidi ya Rais wa sasa Tunisia
Oct 10, 2021 04:11Aliyekuwa rais wa Tunisia amewataka wananchi wa hiyo ya Kiarabu kushiriki kwa wingi katika maandamano yanayotazamiwa kufanyika leo Jumapili, dhidi ya rais wa sasa wa hiyo, Kais Saied, anayemtuhumu kuwa amehodhi madaraka na mamlaka yote ya nchi.
-
Maelfu waandamana kumuunga mkono Rais wa Tunisia
Oct 04, 2021 08:06Zaidi ya watu elfu tano wameshiriki maandamano ya kumuunga mkono Rais Kais Saied wa Tunisia anayetuhumiwa na upinzani kuhodhi madaraka yote ya utendaji ya nchi hiyo.
-
Tunisia yasikitishwa na uamuzi wa Ufaransa wa kupunguza viza kwa raia wake
Oct 04, 2021 00:42Rais Kais Saied wa Tunisia amefanya mazungumzo na simu na Rais mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron na kueleza kusikitishwa na umauzi uliochukuliwa na Paris wa kupunguza idadi ya viza zilizokuwa zikitolewa kwa raia wa Tunisia wanaotaka kuelekea Ufaransa.
-
Mgogoro wa kisiasa waendelea kutokota Tunisia baada ya wabunge kuzuiwa wasiingie bungeni
Oct 02, 2021 04:10Serikali ya Tunisia imeweka ulinzi mkali kwenye majengo ya bunge la nchi hiyo na kuwazuia wabunge wasiingie bungeni humo.