-
Moncef Marzouki: Tawala za Kiarabu hazijaanzisha uhusiano na Israel bali 'zimejisalimisha'
Nov 21, 2020 04:32Mohamed Moncef Marzouki, rais wa zamani wa Tunisia amesema kuwa, ni kosa kusema kuwa, baadhi ya nchi za Kiarabu zimeanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel, bali lililo sahihi na ambalo ndio ukweli wa mambo ni kuwa, mataifa hayo yamejisalimisha kwa utawala huo vamizi.
-
Rais wa zamani wa Tunisia aikosoa vikali Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Nov 07, 2020 07:04Rais wa zamani wa Tunisia Muhammad Moncef al-Marzouki amekosoa vikali kimya cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) na kutolaani kwake mwenendo wa baadhi ya nchi za jumuiya hiyo wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Sudan yakanusha kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni
Oct 15, 2020 23:09Duru moja ya kuaminika ndani ya Baraza la Uongozi la Sudan imekanusha taarifa zinazodai kuwa kumefikiwa makubaliano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya baraza hilo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mamia wapambana na polisi Tunisia baada ya muuza sigara kuuawa kwa buldoza
Oct 13, 2020 22:53Mamia ya waandamanaji waliokuwa wakirusha mawe walipambana na polisi katika mji wa Sbeitla nchini Tunisia jana Jumanne baada ya mamlaka kushambulia kibanda cha sigara ambacho hakina leseni, na kumuua mmiliki wake aliyekuwa amelala ndani yake.
-
Watunisia waandamana kuonyesha uungaji mkono wao kwa Wapalestina
Oct 02, 2020 06:51Kwa mara nyingine tena wananchi na shakhsia mbalimbali wa Tunisia wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Tunis, kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Watunisia wasisitiza kuhuishwa uhusiano na Syria
Sep 25, 2020 23:24Jumuiiya ya Kitaifa ya Kuunga mkono Muqawama na kupambana na utawala wa Kizayuni ya Tunisia imefanya maandamano na kusisitiza kuanzishwa tena uhusiano kati ya nchi hiyo na Syria.
-
Rais wa Tunisia: Baraza la Usalama la UN limekuwa "kibogoyo" kutokana na kutawaliwa na mivutano
Sep 25, 2020 03:07Rais wa Tunisia amesema kwa mivutano ya kisiasa imelifanya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liwe "kibogoyo" na kupunguza uwezo wake wa kutatua migogoro mbalimbali.
-
Rais wa Tunisia ahimiza kulindwa ipasavyo haki za Wapalestina
Sep 22, 2020 08:15Rais wa Tunisia ametoa mwito kwa walimwenguni kushirikiana kuhakikisha kuwa Wapalestina wanakombolewa kutoka kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni na wanapata haki zao.
-
Mwakilishi wa kudumu wa Tunisia UN afutwa kazi ghafla
Sep 11, 2020 20:12Mwakilishi wa kudumu wa Tunisia katika Umoja wa Mataifa ambaye hajatimiza hata miezi sita tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo, amefutwa kazi ghafla tena bila ya kupewa taarifa mapema.
-
Bunge la Tunisia lapasisha baraza jipya la mawaziri
Sep 02, 2020 23:40Baada ya karibu mwezi mmoja tangu Rais Kais Saied alipomteuwa Hisham El-Mechishi kuwa Waziri Mkuu wa Tunisia, El-Mechishi amewasilisha baraza lake la mawaziri bungeni ambalo limepasishwa kwa wingi wa kura.