-
Askari polisi 9 wauawa katika shambulizi la kigaidi nchini Tunisia
Jul 08, 2018 13:32Maafisa tisa wa polisi wameuawa katika shambulizi la kigaidi lililotokea magharibi mwa Tunisia, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Algeria.
-
Walimu wa sekondari Tunisia wakataa kusahihisha mtihani wakipinga Israel
Jul 04, 2018 03:51Walimu wa wa Tunsia wamepinga vikali mtihani wa historia na jografia ulioitambua Israel kuwa ni "dola" badala ya utawala vamizi na wamekataa kusahihisha mtihani huo.
-
Jumuiya ya Maimamu Tunisia: Saudia inatumia mapato ya Hija kushambulia nchi za Waislamu
Jun 22, 2018 03:46Jumuiya ya Maimamu wa Swala za Jamaa nchini Tunisia imetoa taarifa ikisisitiza kuwa Saudi Arabia inatumia mapato yanayotokana na ibada ya Hija kwa ajili ya kuzishambulia nchi nyingine za Kiislamu na imemtaka Mufti Mkuu wa nchi hiyo kusimamisha safari za kwenda kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu huko Saudia.
-
Watunisia waandamana kupinga njama chafu za Imarati dhidi ya nchi yao
Jun 14, 2018 02:24Raia wa Tunisia wamefanya maandamano wakipinga njama chafu na uingiliaji wa Imarati katika masuala ya ndani ya nchi yao.
-
Ripoti: Saudia inafanya mipango ya kumrejesha madarakani dikteta wa zamani wa Tunisia
Jun 12, 2018 06:33Chombo kimoja cha habari nchini Tunisia kimefichua kuwa Saudi Arabia inafanya njama za kumrejesha madarakani dikteta wa zamani wa nchi hiyo.
-
Waziri Mkuu wa Tunisia ampiga kalamu nyekundu Waziri wa Mambo ya Ndani
Jun 07, 2018 07:17Waziri Mkuu wa Tunisia amempiga kalamu nyekundu Waziri wa Mambo ya Ndani bila kutaja sababu ya hatua yake hiyo.
-
Wahajiri haramu 35 wafariki baada ya boti yao kuzama baharini Tunisia
Jun 03, 2018 14:58Wahajiri 35 haramu wamepoteza maisha baada boti yao kuzama baharini nchini Tunisia huku wengine 67 wakiokolewa katika oparesheni ya gadi ya pwani ya nchi hiyo.
-
Chama cha Kiislamu cha al Nahdha chadai kushinda uchaguzi Tunisia, matokeo rasmi kutangazwa Mei 9
May 07, 2018 15:12Chama chenye mielekeo ya Kiislamu cha al Nahdha kimedai kuwa kimeshinda katika uchaguzi wa mabaraza ya miji uliofanyika jana Jumapili nchini Tunisia.
-
Uchaguzi wa kwanza wa mabaraza ya miji Tunisia baada ya kupinduliwa dikteta wa nchi hiyo
May 06, 2018 02:33Uchaguzi wa kwanza wa mabaraza ya miji nchini Tunisia baada ya kujirti mapinduzi ya wananchi yaliyomg'oa madarakani dikteta wa nchi hiyo mwaka 2011 unafanyika leo Jumapili tarehe 6 Mei.
-
Tunisia yawa mwenyeji wa kongamano la kimataifa la mazungumzo baina ya dini tofauti
May 05, 2018 07:53Kongamano la kimataifa la Mazungumzo baina ya "Dini na Tamaduni tofauti kwa ajili ya Kupambana na Ugaidi" limefanyika katika mji wa Djerba nchini Tunisia na kuhudhuriwa na wasomi wa dini mbalimbali.