Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Indhari ya kiongozi wa harakati ya An Nahdhah ya Tunisia katika kukaribia uchaguzi

    Indhari ya kiongozi wa harakati ya An Nahdhah ya Tunisia katika kukaribia uchaguzi

    Apr 29, 2018 07:59

    Kiongozi wa harakati ya An Nahdhah ya nchini Tunisia ametahadharisha katika kukaribia kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa kuwa harakati hiyo haitaruhusu kurejea udikteta nchini humo.

  • Tunisia yawazuia wanamichezo wa Israel kuingia nchini humo

    Tunisia yawazuia wanamichezo wa Israel kuingia nchini humo

    Apr 08, 2018 03:18

    Mahakama moja nchini Tunisia imewapiga marufuku wanamichezo wa taekwondo wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuingia nchini humo.

  • Sisitizo la Rais wa Tunisia la kujitawala kikamilifu nchi hiyo

    Sisitizo la Rais wa Tunisia la kujitawala kikamilifu nchi hiyo

    Apr 08, 2018 02:52

    Rais wa Tunisia ametangaza kuwa nchi hiyo inajitawala kikamilifu licha ya mashinikizo na matatizo yote yaliyopo na kueleza kuwa Tunisia inajivunia historia yake ya mapambano, kuwa huru na mafanikio iliyopata katika miongo kadhaa iliyopita licha ya matatizo na mashinikizo yote ya ndani.

  • Waziri Mkuu wa Tunisia: Nipo tayari kujiuzulu

    Waziri Mkuu wa Tunisia: Nipo tayari kujiuzulu

    Mar 23, 2018 14:34

    Waziri Mkuu wa Tunisia ametangaza kuwa yupo tayari kujiuzulu wadhifa huo kwa masharti.

  • Harakati ya An Nahdhah ya Tunisia yapinga kubadilishwa serikali

    Harakati ya An Nahdhah ya Tunisia yapinga kubadilishwa serikali

    Mar 18, 2018 06:37

    Abdulkarim al Haruni Mkuu wa Baraza la Ushauri la Harakati ya An Nahdhah ya Tunisia amesema kuwa harakati hiyo haiungi mkono ombi la kubadilishwa serikali.

  • Wanachuo wanaosomea utabibu wafanya maandamano nchini Tunisia

    Wanachuo wanaosomea utabibu wafanya maandamano nchini Tunisia

    Mar 13, 2018 08:01

    Wanafunzi wanaosomea taaluma ya udakitari nchini Tunisia wamefanya maandamano nje ya ofisi ya Wizara ya Afya wakishinikiza kutekelezewa matakwa yao.

  • Muda wa hali ya hatari waongezwa nchini Tunisia

    Muda wa hali ya hatari waongezwa nchini Tunisia

    Mar 07, 2018 07:32

    Ofisi ya Rais wa Tunisia ilitangaza jana kwamba, muda wa hali ya hatari umeongezwa nchini humo kwa miezi saba mingine. Muda huo ulikuwa unamalizika tarehe 12 mwezi huu wa Machi 2018.

  • Ripoti: Saudia na Imarati zilipanga njama ya mapinduzi Tunisia

    Ripoti: Saudia na Imarati zilipanga njama ya mapinduzi Tunisia

    Mar 05, 2018 16:29

    Vyombo vya habari vya Tunisia vimefuchua kwamba Saudi Arabia na Imarati zilipanga njama ya kuipindua serikali ya nchi hiyo.

  • Maandamano dhidi ya Israel yaendelea nchini Tunisia

    Maandamano dhidi ya Israel yaendelea nchini Tunisia

    Feb 19, 2018 15:42

    Mamia ya wanaharakati wa kisiasa na kijamii wa nchini Tunisia kwa mara nyingine wamefanya maandamano wakilitaka bunge la nchi hiyo lifanye haraka kupitisha sheria ambayo itatamka wazi kuwa ni uhalifu kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel

  • Maandamano dhidi ya Israel nchini Tunisia

    Maandamano dhidi ya Israel nchini Tunisia

    Feb 18, 2018 07:33

    Wananchi wa Tunisia wameandamana kuunga mkono rasimu ya sheria ya kupiga marufuku uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS