-
Mbunge wa Tunisia achana bendera ya Israel ndani ya Bunge
Feb 14, 2018 07:22Mbunge mmoja wa Tunisia amechana bendera ya utawala wa Kizayuni wa Israel, kuonyesha ghadhabu zake dhidi ya serikali ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika ya kutaka kufanya wa kawaida uhusiano wake na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Helikopta ya kijeshi yaanguka Tunisia na kuua na kujeruhiwa wanajeshi
Feb 08, 2018 07:10Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Tunisia ametangaza habari ya kuanguka helikopta moja ya kijeshi ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika na kuua mwanajeshi mmoja na kujeruhi wengine wawili.
-
Weledi wa mambo: Safari ya Rais Macron nchini Tunisia imeambulia patupu
Feb 03, 2018 03:38Weledi wa masuala ya kisiasa wameitaja safari ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa nchini Tunisia kuwa imeambulia patupu.
-
Jumuiya ya Wafanyakazi Tunisia: Badala ya maneno matupu, malengo ya Palestina yaungwe mkono kivitendo
Jan 21, 2018 14:43Jumuiya ya wafanyakazi nchini Tunisia imetaka kuhitimishwa utoaji sha'ar na miito ya shime katika kuunga mkono malengo matukufu ya Palestina na badala ya kutoa hotuba na taarifa zichukuliwe hatua za kivitendo kuhusiana na suala hilo.
-
Kamanda wa al-Qaeda Maghreb auawa nchini Tunisia
Jan 21, 2018 07:39Maafisa usalama nchini Tunisia wamefanikiwa kumuangamiza kamanda wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la al-Qaeda katika eneo la magharibi mwa Afrika AQIM.
-
Rais wa Tunisia afanya mkutano wa kusitisha maandamano
Jan 14, 2018 07:53Rais wa Tunisia amevunja kimya chake na kufanya mkutano na vyama vya siasa, miungano ya wafanyakazi na shirikisho la waajiri kwa shabaha yan kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kiuchumi na maandamano yanayoshuhudiwa nchini humo kwa siku kadhaa sasa.
-
Umoja wa Mataifa watiwa wasiwasi na hali inavyoendelea nchini Tunisia
Jan 13, 2018 07:47Umoja wa Mataifa umesema umetiwa wasiwasi na idadi kubwa ya watu waliotiwa mbaroni nchini Tunisia.
-
Amnesty International yataka kuachwa kukandamizwa waandamanaji Tunisia
Jan 13, 2018 03:44Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeitolea wito kwa serikali ya Tunisia kuacha kutumia mabavu na kuwakandamiza wananchi wanaoandamana.
-
Maandamano ya fujo yaendelea Tunisia; idadi ya waliokamatwa yafikia watu 600
Jan 11, 2018 16:24Maafisa wa serikali ya Tunisia wametangaza kuwa idadi ya watu waliokamatwa katika maandamano ya fujo yaliyoendelea kwa usiku wa tatu hapo jana katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kulalamikia ongezeko la bei za bidhaa na kodi imefikia watu 600.
-
Maandamano ya kulalamikia mfumko wa bei yashtadi Tunisia
Jan 09, 2018 15:51Mtu mmoja ameuawa, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya wananchi wa Tunisia wanaolalamikia mfumko wa bei za bidhaa na kile wanachokitaja kama 'bajeti isiyo ya uadilifu'.