-
Machafuko yaendelea kutikisa Paris baada ya polisi kumdhalilisha Mwafrika
Feb 10, 2017 13:01Ghasia na machafuko yameendelea kuukumba mji mkuu wa Ufaransa, Paris kwa siku kadhaa baada ya kuenea ripoti kuwa maafisa wa polisi ya nchi hiyo wamempiga vibaya na baadaye kumnajisi kwa kijiti mwanaume mwenye asili ya Afrika katika viunga vya mji wa Paris.
-
Kushadidi ukatili wa polisi na kamatakamata kote Ufaransa
Feb 09, 2017 23:14Siku chache zilizopita maafisa wa polisi Ufaransa walimkamata mwanaume mwenye asili ya Afrika na kumpiga vibaya na baada ya hapo kumnajisi kwa kijiti sambamba na kumvunjia heshimana katika viunga vya mji wa Paris.
-
Larijani: Waungaji mkono wa ugaidi hawamo kwenye orodha ya Trump ya marufuku ya viza
Feb 01, 2017 23:22Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi zinazounga mkono ugaidi hazimo kwenye orodha ya marufuku ya viza iliyotolewa na Rais wa Marekani.
-
Rouhani: Ushirikiano wa kimataifa unahitajika kukabili ugaidi
Feb 01, 2017 04:04Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano wa kimataifa unahitajika iwapo dunia inataka natija katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa awasili Tehran
Jan 31, 2017 03:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amewasili mjini Tehran akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi kwa shabaha ya kukutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais wa Ufaransa amtaka Trump aheshimu JCPOA
Jan 29, 2017 10:21Rais wa Ufaransa amemtaka Rais mpya wa Marekani aheshimu makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1 yaliyosainiwa huko Vienna nchini Austria Julai mwaka 2015.
-
Ufaransa yaionya Marekani juu ya kuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds
Jan 16, 2017 00:20Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ufaransa amesema kuwa, pendekezo la Donald Trump Rais mteule wa Marekani la kuhamishia ubalozi wa Marekani katika mji wa Baytul Muqaddas ni la kichochezi.
-
Uchunguzi wa changamoto za bara la Afrika katika kikao cha Bamako
Jan 13, 2017 09:43Kikao cha 27 cha viongozi wa nchi za Kiafrika na Ufaransa kimeanza leo Ijumaa huko Bamako mji mkuu wa Mali kwa shabaha ya kuchunguza masuala ya kiuchumi, migogoro ya Kisasa na kiusalama yanayolikabili bara la Afrika.
-
Daktari aliyenajisi makumi ya wagonjwa afikishwa mahakamani Ufaransa
Dec 31, 2016 11:29Daktari wa Ufaransa aliyewabaka waonjwa 37 katika mji wa Cher amefikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili.
-
Mahakama ya Ufaransa yapasisha miaka 25 jela dhidi ya Simbikangwa
Dec 04, 2016 03:58Mahakama moja nchini Ufaransa imepasisha kifungo cha miaka 25 jela dhidi ya mkuu wa zamani wa usalama wa taifa wa Rwanda baada ya kumpata na hatia ya kufanya mauaji ya kimbari mwaka 1994 nchini humo.