-
Rwanda kuchunguza kuhusika Wafaransa katika mauaji ya kimbari
Nov 30, 2016 04:08Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Rwanda imeanzisha uchunguzi wa jinai kuhusu kuhusika raia 20 wa Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 dhidi ya Watutsi
-
Nchi za jumuiya ya Francophone zasisitiza udharura wa kupambana na ugaidi
Nov 29, 2016 10:20Washiriki katika mkutano wa kimataifa wa 16 wa Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Kifaransa (Francophone) wametilia mkazo udharura wa kupambana na ugaidi na kuanzisha ulimwengu wenye amani na usalama.
-
Kivuli cha migogoro ya kisiasa katika kikao cha kimataifa cha nchi zinazozungumza lugha ya Kifaransa
Nov 26, 2016 10:09Kikao cha Kimataifa cha 16 cha Nchi Zinazozungumza lugha ya Kifaransa kinafanyika huko Madagascar lengo likiwa ni kuchunguza migogoro ya kisiasa ya nchi hizo. Marais wa nchi au Mawaziri Wakuu zaidi ya 30 kutoka nchi 80 zinazozungumza lugha ya Kifaransa wanashiriki katika kikao hicho.
-
Ufaransa kushirikiana na nchi za Afrika katika mapambano dhidi ya ugaidi
Nov 23, 2016 00:48Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa Bernard Cazeneuve amesema nchi yake itapanua ushirikiano wake na bara la Afrika katika kupambana na ugaidi.
-
Iran na Ufaransa zasisitiza umuhimu wa kutekelezwa JCPOA
Nov 19, 2016 04:35Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufaransa zimesisitizia umuhimu wa kutekelezwa makubaliano ya nyuklia ya Vienna, yaliyosainiwa kati ya Iran na nchi za kundi la 5+1.
-
Vikosi vya radiamali ya haraka vya Ufaransa kubaki CAR
Oct 27, 2016 10:52Ufaransa imesema kuwa wanajeshi wake wa radiamali ya haraka wataendelea kubakia katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Ufaransa yasisitiza udharura wa kuendelea kuwepo jeshi la nchi hiyo huko Mali
Oct 21, 2016 03:31Waziri Mkuu wa Ufaransa amesisitiza ulazima wa kuendelea kuwepo wanajeshi wa nchi hiyo huko Mali.
-
Ufaransa yafufua uchunguzi wa mauaji ya rais wa zamani wa Rwanda
Oct 08, 2016 10:26Ufaransa imeanzisha tena uchunguzi wa mauaji ya rais wa zamani wa Rwanda, Juvenal Habyarimana, yaliyopelekea kuanza kwa mauji ya kimbari nchini humo mwaka 1994.
-
Libya yataka kuzidishwa ushirikiano wa kiusalama kati yake na Ufaransa
Sep 28, 2016 04:04Libya imetaka kuzidishwa ushirikiano wa kiusalama na kijeshi kati yake na Ufaransa.
-
Ufaransa yaitaka serikali ya Libya izungumze na makundi ya nchi hiyo
Sep 03, 2016 11:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ameyataka makundi ya Libya yatatue matatizo yao na serikali ya umoja wa kitaifa na yaisaidie serikali hiyo katika jitihada zake za kuleta umoja na kupambana na mifarakano nchini humo.