-
Waziri wa Elimu Ufaransa akosoa marufuku ya vazi la burqini
Aug 26, 2016 11:37Waziri wa Elimu nchini Ufaransa, Najat Vallaud-Belkacem amekosoa marufuku ya vazi la stara la kuogelea linalovaliwa na wanawake wa Kiislamu linalofahamika kwa jina la 'Burqini' ambalo lilikatazwa hivi karibuni na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Manuel Valls.
-
Mfanyabiashara wa Kifaransa ajitolea kulipa faini za wanawake Waislamu wanaovaa Burkini
Aug 23, 2016 23:44Rashid Nakaz, mfanyabiashara tajiri na mwanaharakati wa kisiasa wa Ufaransa ametangaza kuwa atalipa faini wanazotozwa wanawake Waislamu wanaovaa vazi la kuogelea linalojulikana kwa jina la Burkini.
-
Waziri Mkuu wa Ufaransa aunga mkono marufuku ya 'burqini'
Aug 17, 2016 23:09Waziri Mkuu wa Ufaransa ameunga mkono hatua ya mameya wa miji minne nchini humo kupiga marufuku vazi la stara la kuogelea linalovaliwa na wanawake wa Kiislamu linalofahamika kama 'burqini'.
-
Hollande: Tutatumia kila njia kukabiliana na magaidi wa Daesh
Jul 26, 2016 12:19Rais Francois Hollande wa Ufaransa amesema serikali yake itatafanya kila liwezekanalo ili kukomesha kikamilifu mashambulizi na harakati za kundi la kigaidi na kitakfiri la Desh (ISIS) nchini humo.
-
Waziri Mkuu wa Ufaransa aonya kuhusu hujuma dhidi ya Waislamu nchini humo
Jul 21, 2016 23:49Waziri Mkuu wa Ufaransa ameonya kuhusu hatari ya kuhujumiwa Waislamu wanaoishi nchini humo.
-
Waziri Mkuu Ufaransa: Kuna hatari Waislamu wakashambuliwa
Jul 21, 2016 02:14Waziri Mkuu wa Ufaransa ametahadharisha kuhusu hatari ya kushambuliwa Waislamu nchini humo.
-
Chuki dhidi ya Uislamu zaongezeka nchini Ufaransa
Jul 20, 2016 23:18Vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vimeongezeka nchini Ufaransa na mara hii ni katika mji wa Lyon.
-
Amoli Larijani: Uislamu hauna uhusiano na ugaidi
Jul 18, 2016 09:30Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema Uislamu hauna uhusiano na ugaidi na kuongeza kuwa kile kinachodaiwa kuwa ni 'Ugaidi wa Kiislamu' ni fikra ya Wamagharibi ambao wanaunga mkono kundi la kigaidi la ISIS au Daesh na makundi mengine ya wakufurishaji.
-
Hizbullah, Hamas zalaani shambulizi la kigaidi Nice
Jul 16, 2016 02:18Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) zimelaani shambulizi la kigaidi lililofanyika katika mji wa Nice nchini Ufaransa.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi la Nice, Ufaransa
Jul 15, 2016 11:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyosababisha vifo katika mji wa Nice nchini Ufaransa.