Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugaidi

  • Kuuawa shahidi Meja Jenerali Qassim Solaimani; mfano wa wazi wa jinai za kivita za Marekani

    Kuuawa shahidi Meja Jenerali Qassim Solaimani; mfano wa wazi wa jinai za kivita za Marekani

    Jan 03, 2020 08:23

    Meja Jenerali Qassim Solaimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al Muhandes, Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq cha al-Hashdul al-Shaabi, wameuawa shahidi usiku wa kuamkia Ijumaa ya leo katika shambulio la roketi lililofyatuliwa na helikopta ya Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad mji mkuu wa Iraq.

  • Onyo kuhusu hatari ya kuenea ugaidi wa ndani nchini Marekani

    Onyo kuhusu hatari ya kuenea ugaidi wa ndani nchini Marekani

    Dec 30, 2019 23:14

    Hata kama kufuatia mashambulio ya Septemba 11 nchini Marekani nchi hiyo ilijinadi kuwa kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi duniani na kutekeleza mashambulizi kadhaa ya kibabe katika pembe tofauti za dunia kufuatia madai hayo ya uongo, lakini kuenea kwa vitendo vya utumiaji silaha nchini humo, kumewapelekea watawala wa nchi hiyo kutoa tahadhari kuhusiana na kuenea ugaidi katika nchi hiyo ya Magharibi.

  • Waislamu milioni 27 wameuawa katika 'vita dhidi ya ugaidi' vya Marekani

    Waislamu milioni 27 wameuawa katika 'vita dhidi ya ugaidi' vya Marekani

    Nov 22, 2019 10:38

    Msomi na mwanafikra mashuhuri wa Marekani amesema zaidi ya Waislamu milioni 27 wameuawa kutokana na vita vilivyoibuliwa na Marekani kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi, tangu baada ya mashambulizi ya Septemba 11, 2001 hadi sasa.

  • Ukosoaji wa Pakistan dhidi ya serikali ya Marekani

    Ukosoaji wa Pakistan dhidi ya serikali ya Marekani

    Nov 07, 2019 03:29

    Pakistan imeyakosoa vikali madai ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kwamba, Islamabad haina uwezo wa kupambana na ugaidi na kuyataja matamshi hayo kuwa siyo ya kukubalika hata kidogo.

  • Magaidi walioua watu katika maandamano ya Iraq watiwa nguvuni

    Magaidi walioua watu katika maandamano ya Iraq watiwa nguvuni

    Oct 31, 2019 07:04

    Kamanda wa Operesheni ya Baghdad amesema kuwa magaidi waliowalenga na kuua raia wanaoandamana nchini humo wametiwa nguvuni.

  • Uturuki yaihakikishia Iran, mashambulizi yake Syria ni ya muda mfupi

    Uturuki yaihakikishia Iran, mashambulizi yake Syria ni ya muda mfupi

    Oct 08, 2019 04:53

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amemhakikishia mwenzake wa Iran kwamba, mashambulizi ya jeshi la nchi hiyo huko kaskazini mwa Syria yaliyoanza Jumatatu usiku ni ya muda mfupi.

  • Indhari kuhusu hatari kubwa ya ubaguzi wa rangi kwa usalama wa Marekani

    Indhari kuhusu hatari kubwa ya ubaguzi wa rangi kwa usalama wa Marekani

    Aug 14, 2019 21:06

    Kuingia madarakani Donald Trump akiwa rais wa 45 wa Marekani kumeambatana na kuzuka wimbi jipya la ubaguzi wa rangi ndani ya nchi hiyo.

  • Tahadhari ya kuenea ugaidi wa ndani nchini Marekani

    Tahadhari ya kuenea ugaidi wa ndani nchini Marekani

    Aug 05, 2019 22:30

    Hata kama kufuatia mashambulio ya Septemba 11, 2001 Marekani ilijitangaza kuwa mbeba bendera wa mapambano dhidi ya ugaidi ulimwenguni na kufanya uvamizi wa kijeshi katika nchi kadhaa kwa kisingizio hicho, lakini kuongezeka kwa kesi za mashambulio ya silaha nchini humo na hasa katika siku chache zilizopita, kumepelekea kutolewa tahadhari kali juu ya kuongezeka ugaidi wa ndani katika nchi hiyo ya Magharibi.

  • Katibu Mkuu wa UN atahadharisha kuhusu hatari ya ugaidi barani Afrika

    Katibu Mkuu wa UN atahadharisha kuhusu hatari ya ugaidi barani Afrika

    Jul 12, 2019 20:41

    Kupanuka kwa harakati za makundi ya kigaidi katika maeneo mbalimbali ya Afrika kumezusha wasiwasi na hofu si baina ya viongozi wa nchi za bara hilo pekee bali hata wa taasisia za kimataifa.

  • Katibu Mkuu wa UN: Ugaidi unatishia uthabiti wa bara la Afrika

    Katibu Mkuu wa UN: Ugaidi unatishia uthabiti wa bara la Afrika

    Jul 11, 2019 07:56

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameonya kuwa ugaidi unaitishia uthabiti wa bara la Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS