-
Mkuu wa jeshi la Uganda atishia kuushambulia mji wa Bunia mashariki mwa Kongo
Feb 16, 2025 09:14Jenerali Muhoozi Kainerugaba Mkuu wa jeshi la Uganda jana aliandika katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X kuwa nchi hiyo itaushambulia mji wa Bunia mashariki mwa Kongo iwapo wapiganaji wote katika eneo hilo hawatasalimisha silaha zao katika muda wa saa 24.
-
Uganda yatuma askari 1,000 zaidi mashariki mwa DRC
Feb 05, 2025 02:40Uganda imeripotiwa kutuma wanajeshi zaidi ya 1,000 wa ziada huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndani ya wiki moja iliyopita, karibu na eneo ambalo wanajeshi wa serikali ya Kinshasa wanapambana na waasi wa M23.
-
Museveni apuuza uamuzi wa mahakama juu ya mahakama za kijeshi
Feb 02, 2025 12:30Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema serikali yake itaendelea kuwashtaki raia katika mahakama za kijeshi, licha ya Mahakama ya Juu ya nchi hiyo kupiga marufuku hatua hiyo, ikisema ni kinyume cha katiba.
-
Wafuasi wa kundi lenye misimamo mikali waua, kujeruhi 16 Uganda
Oct 30, 2024 14:17Watu kadhaa wanaoshukiwa kuwa wafuasi madhehebu ya kidini yenye misimamo ya kufurutu ada wameshambulia kijiji kimoja nchini Uganda, na kuua watu wasiopungua wanane, akiwemo mtoto wa umri wa miaka mitatu na watu wa familia za washambuliaji hao.
-
Maambukizo ya ugonjwa wa Mpox yaongezeka nchini Uganda
Sep 15, 2024 07:27Idadi ya wagonjwa nchini Uganda walioambukizwa aina mpya ya virusi vya Mpox imeongezeka hadi 11, huku afisa mkuu wa afya akiripoti kuwa hakuna vifo vilivyosababishwa na maradhi hayo kufikia jana Jumamosi nchini humo.
-
Mahakama ya Uganda yamkuta na hatia kiongozi wa waasi wa LRA
Aug 14, 2024 08:11Mahakama nchini Uganda jana ilimpata na hatia kamanda wa zamani wa kundi la Waasi wa Kikristo la kaskazini mwa Uganda (LRA). Thomas Kwoyelo amepatikana na hatia kwa kuhusika katika makosa kadhaa ya jinai dhidi ya binadamu katika kesi ya kwanza ya jinai za kivita kusikilizwa katika nchi hiyo ya mashariki mwa Afrika.
-
DRC yamuita balozi wa Uganda kujadili tuhuma za kuunga mkono M23
Jul 21, 2024 11:02Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemuita balozi mdogo wa Uganda nchini humo, baada ya Umoja wa Mataifa kusema katika ripoti yake kwamba, jeshi la Uganda limewauga mkono waasi wa M23 wanaoendesha harakati zao mashariki mwa DRC.
-
Jeshi la Uganda lakanusha madai ya kuwaunga mkono waasi wa M23
Jun 18, 2024 02:41Jeshi la Uganda (UPDF) limekanusha madai kwamba linatoa msaada kwa wapiganaji wa M23 ambao wanaendesha harakati zao mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Kenya na Uganda zaafikiana kuhusu ujenzi wa bomba la mafuta
May 17, 2024 07:24Kenya na Uganda zimekubaliana kujenga kwa pamoja bomba la kusafirishia mafuta kutoka mjini Eldoret katika eneo la Bonde la Ufa nchini Kenya hadi Uganda.
-
Uganda: Tunahitaji teknolojia ya Iran kudhibiti maudhui chafu, potofu mitandaoni
May 10, 2024 07:25Serikali ya Uganda inatafakari kuanza kutumia teknolojia iliyopiga hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kudhibiti maudhui chafu na za upotoshaji kwenye mitandao ya kijamii.