-
Iran na Uganda zaazimia kupanua ushirikiano katika uga wa mawasiliano na teknolojia ya habari
May 02, 2024 11:21Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Iran ametangaza utayari wa taifa hili wa kushirikiana na Uganda katika miradi ya mawasiliano na teknolojia habari na uhamishaji wa taaluma hiyo kwa taifa hilo la Afrika Mashariki.
-
Iran na Uganda kuimarisha ushirikiano katika sekta ya kilimo
May 01, 2024 07:18Mwenyekiti wa Kamisheni ya Viwanda na Madini ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inatilia maanani ushirikiano wa kilimo na Uganda katika uga wa kilimo nje ya mipaka ya nchi, mafunzo na ushirikiano wa wataalamu na watafiti.
-
Rais Museveni amteua mwanawe kuwa Mkuu wa Majeshi ya Uganda
Mar 22, 2024 10:56Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe wa kiume, Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu wa Majeshi ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Mahakama Uganda yapinga ombi la kusajiliwa kundi la LGBT
Mar 13, 2024 07:45Mahakama moja nchini Uganda imetupilia mbali ombi la kundi moja la kutetea mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja LGBT, lililotaka korti hiyo iilazimishe serikali ya Kampala itoe idhini ya kusajiliwa kwa kundi hilo.
-
Uganda yajitenga na jaji wa ICJ aliyepiga kura kwa maslahi ya Israel
Jan 27, 2024 07:29Uganda imejiweka mbali na hatua ya Julia Sebutinde, jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) raia wa nchi hiyo, ya kupiga kura kupinga vipengee vya maagizo yaliyotolewa na mahakama hiyo ya Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni Israel kutokana na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo pandikizi katika Ukanda wa Gaza dhidi ya Wapalestina.
-
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran: Gaza imekuwa gereza kubwa zaidi la wazi duniani
Jan 20, 2024 13:49Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao cha Harakati ya Nchi Zisizofungamano ya Siasa za Upande Wowote (NAM) kinachofanyika Kampala nchini Uuganda kwamba: Mzingiro wa muda mrefu wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza umelifanya eneo hilo kuwa jela kubwa zaidi ya wazi duniani.
-
Kikao cha leo cha wakuu wa NAM Uganda; Iran yataka jumuiya hiyo itilie mkazo kuihami Palestina
Jan 19, 2024 07:38Mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM unafanyika leo katika mji mkuu wa Uganda, Kamapala huku Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ikiwataka wanachama wa jumuiya hiyo kutilia mkazo uungaji mkono wao kwa taifa linalodhulumiwa la Palestina.
-
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran kushiriki mkutano wa NAM Uganda
Jan 19, 2024 03:31Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anatazamiwa kwenda Kampala, mji mkuu wa Uganda kuhudhuria Mkutano wa 19 wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM).
-
Watu kadhaa wauawa katika shambulizi la ADF nchini Uganda
Dec 20, 2023 03:04Kwa akali watu watano wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulizi linaloshukiwa kufanywa na waasi wa kundi linalojiita Allied Democratic Forces (ADF) magharibi mwa Uganda.
-
Soka Afrika: Uganda kidedea Cecafa U18
Dec 09, 2023 11:14Timu ya taifa ya soka ya vijana ya Uganda imebuka kidedea baada ya kuichabanga Kenya mabao 2-1 katika fainali ya Mashindano ya Kandanda ya Kanda ya Afrika Mashariki na Kati Cecafa kwa vijana wenye chini ya miaka 18.