Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • Uingereza yatenga bajeti ya dharura kukabiliana na ongezeko la wafungwa wanaojiua

    Uingereza yatenga bajeti ya dharura kukabiliana na ongezeko la wafungwa wanaojiua

    May 24, 2016 11:52

    Uingereza imeamua kutenga bajeti ya dharura ya pauni milioni 10 kukabiliana na ongezeko la wafungwa wanaojiua na matatizo ya kiakili katika jela za nchi hiyo.

  • Waislamu Uingereza waendesha kampeni maalumu za kuutambulisha Uislamu

    Waislamu Uingereza waendesha kampeni maalumu za kuutambulisha Uislamu

    May 21, 2016 23:52

    Jumuiya ya Waislamu wa Uingereza imeitisha kikao maalumu cha kujibu maswali ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuhusiana na Uislamu na utamaduni wa Kiislamu.

  • Malkia wa Uingereza akosolewa kwa kushirikiana na Mfalme wa Bahrain

    Malkia wa Uingereza akosolewa kwa kushirikiana na Mfalme wa Bahrain

    May 19, 2016 03:33

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Amnesty International na Human Rights Watch yamemjia juu Malkia Elizabeth II wa Uingereza kwa kumualika Mfalme wa Bahrain Hamad bin Isa Al-Khalifa katika sherehe za kuadhimisha miaka 90 ya kuzaliwa kwake, licha ya kufahamu dhulma na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Manama dhidi ya wananchi.

  • Kasisi mtoro wa Uingereza aliyewanajisi watoto akamatwa Kosovo

    Kasisi mtoro wa Uingereza aliyewanajisi watoto akamatwa Kosovo

    May 15, 2016 09:24

    Polisi nchini Kosovo imemtia mbaroni kasisi mmoja wa Kanisa Katoliki anayedaiwa kuwanajisi watoto wadogo katika taasisi moja ya kidini nchini Uingereza na kisha kutoroka nchi.

  • Kikao cha kimataifa cha London cha kupambana na Ufisadi

    Kikao cha kimataifa cha London cha kupambana na Ufisadi

    May 13, 2016 12:00

    Kikao cha kimataifa cha kupambana na ufisadi kilimalizika jana usiku mjini London, Uingereza. Viongozi wa kisiasa na kiuchumi waliohudhuria kikao hicho wamesisitiza juu ya kuandaliwa ramani ya njia ya kivitendo kwa ajili ya kupambana na ufisadi wa fedha na ukwepaji kodi ambao unaandaa mazingira ya vitendo vya ukatili ulioratibiwa, ugaidi na misimamo ya kufurutu mpaka.

  • Nigeria yaitaka Uingereza irudishe mali za nchi hiyo zilizoibiwa

    Nigeria yaitaka Uingereza irudishe mali za nchi hiyo zilizoibiwa

    May 11, 2016 23:37

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema ameitaka Uingereza izirudishe mali za nchi hiyo zilizoibwa na baadhi ya maafisa wa serikali na kupelekwa nchini humo.

  • Mabasi ya London yana mabango ya 'Subhan Allah' katika Kampeni ya Mwezi wa Ramadhani

    Mabasi ya London yana mabango ya 'Subhan Allah' katika Kampeni ya Mwezi wa Ramadhani

    May 10, 2016 23:47

    Shirika moja la kutoa misaada nchini Uingereza limeanzisha kampeni ya matangazo yenye mabango ya 'Subhan Allah' kwa ajili ya kushajiisha watu watoe misaada katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

  • Askari wa jeshi la majini la Uingereza ajiunga na Daesh

    Askari wa jeshi la majini la Uingereza ajiunga na Daesh

    May 08, 2016 22:59

    Imearifiwa kuwa askari mmoja wa jeshi la majini la Uingereza ameondoka nchini na kuelekea Syria kujiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.

  • Livingstone: Kubuniwa Israel ni janga kubwa duniani

    Livingstone: Kubuniwa Israel ni janga kubwa duniani

    May 07, 2016 03:41

    Meya wa zamani wa London nchini Uingereza amesema kuanzishwa utawala haramu wa Israel ni janga kubwa la kihistroria ambalo taathira zake hasi zinaendelea kushuhudiwa.

  • Watetezi wa haki za binadamu Uingereza wataka Sheikh Zakzaky aichiwe huru

    Watetezi wa haki za binadamu Uingereza wataka Sheikh Zakzaky aichiwe huru

    Apr 21, 2016 02:19

    Kundi la wanaharakai wa kutetea haki za binadamu nchini Uingereza limeanzisha wimbi kubwa la malalamiko katika mitandao ya kijamii likitaka kuachiwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS