• Velayati: Ushindi unapatikana chini ya kivuli cha umoja

    Velayati: Ushindi unapatikana chini ya kivuli cha umoja

    Oct 24, 2016 23:29

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu amesema kuwa, mahudhurio makubwa ya maulamaa wa Suni na Shia kutoka nchi mbalimbali katika Mkutano wa Mwamko wa Kiislamu uliofanyika nchini Iraq sambamba na operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul kutoka kwenye makucha ya magaidi wa Daesh ni ujumbe mkubwa kwamba ushindi unapatikana katika kivuli cha umoja na mshikamano wa Waislamu.

  • Utafiti: Uislamu ndiyo dini inayokuwa kwa kasi zaidi duniani

    Utafiti: Uislamu ndiyo dini inayokuwa kwa kasi zaidi duniani

    Aug 17, 2016 09:36

    Utafiti uliofanywa na kituo cha utafiti cha Pew Research Center cha Marekani umeonyesha kuwa, Uislamu utasalia kuwa dini yenye kukuwa kwa kasi zaidi duniani katika kipindi cha miongo kadhaa ijayo.

  • Papa: Si sahihi kuufananisha Uislamu na utumiaji mabavu

    Papa: Si sahihi kuufananisha Uislamu na utumiaji mabavu

    Aug 01, 2016 02:49

    Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani amekosoa propaganda zinazoendeshwa dhidi ya dini ya Uislamu kufuatia mashambulizi ya kigaidi ya hivi karibuni huko Ulaya yaliyodaiwa kutekelezwa na magaidi wa kitakfiri wa Daesh na kueleza kuwa, si haki na ni makosa kuufanisha Uislamu na utumiaji mabavu na ugaidi.

  • Chuki dhidi ya Uislamu zaongezeka nchini Ufaransa

    Chuki dhidi ya Uislamu zaongezeka nchini Ufaransa

    Jul 20, 2016 23:18

    Vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vimeongezeka nchini Ufaransa na mara hii ni katika mji wa Lyon.

  • Ayatullah Kashani awataka Waislamu kushikamana

    Ayatullah Kashani awataka Waislamu kushikamana

    Jun 17, 2016 09:52

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa Tehran ameyatolea mwito mataifa yote ya Waislamu kushikamana na kuwa kitu kimoja mbele ya njama za ustikbari na Uzayuni wa kimataifa dhidi ya Dini Tukufu ya Uislamu.

  • Ivory Coast yasisitiza, Uislamu ni dini ya amani

    Ivory Coast yasisitiza, Uislamu ni dini ya amani

    Jun 17, 2016 00:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ivory Coast ametilia mkazo udharura wa kupambana na ugaidi na kusema kuwa Uislamu ni dini ya amani na suluhu.

  • Waislamu Uingereza waendesha kampeni maalumu za kuutambulisha Uislamu

    Waislamu Uingereza waendesha kampeni maalumu za kuutambulisha Uislamu

    May 21, 2016 23:52

    Jumuiya ya Waislamu wa Uingereza imeitisha kikao maalumu cha kujibu maswali ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuhusiana na Uislamu na utamaduni wa Kiislamu.

  • Sheikhul Azhar, Uislamu hauchochei ugaidi

    Sheikhul Azhar, Uislamu hauchochei ugaidi

    May 19, 2016 23:37

    Mufti wa al Azhar, Dk Ahmad Muhammad al Tayyib amesema kuwa, kwa mujibu wa aya ya 32 ya Suratul Maida ya Qur'ani Tukufu, dini ya Kiislamu inapiga marufuku kumshambulia mwanadamu yeyote kutoka dini yoyote ile.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Nguvu kwa Msingi wa Uislamu

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Nguvu kwa Msingi wa Uislamu

    May 19, 2016 02:38

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei Jumatano alikutana na washiriki wa Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran na kusema, 'Qur'ani Tukufu ni mhimili wa Umoja wa Umma wa Kiislamu.

  • Al Azhar ya Misri yasisitiza kufanyika mazungumzo kati ya dini za mbinguni

    Al Azhar ya Misri yasisitiza kufanyika mazungumzo kati ya dini za mbinguni

    Apr 11, 2016 08:55

    Sheikhul Azhar wa Misri amesisitiza juu ya ulazima wa kufanyika mazungumzo kati ya dini za mbinguni kwa minajili ya kukurubisha pamoja fikra na mitazamo kati ya dini hizo.