• Watoto wachanga wafariki Ghaza kutokana na mzingiro wa kinyama wa Israel

    Watoto wachanga wafariki Ghaza kutokana na mzingiro wa kinyama wa Israel

    Feb 20, 2018 12:14

    Kituo cha kutetea haki za binadamu Palestina kimetoa taarifa na kusema watoto sita wachanga wameaga dunia katika hospitali za Ukanda wa Ghaza kutokana na mzingiro wa kinyama uliowekwa na utawala wa Kizayuni wa Israel na hivyo kupelekea hospitali kukosa dawa za dharura.

  • Jeshi la Israel lashambulia ngome za Hamas Ukanda wa Gaza

    Jeshi la Israel lashambulia ngome za Hamas Ukanda wa Gaza

    Oct 09, 2017 04:30

    Vikosi vya Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel vimeshambulia kile vinachodai kuwa ni ngome za Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas, katika Ukanda wa Gaza.

  • UN yaitaka Israel iondoe mzingiro wa kibaguzi Ukanda wa Gaza

    UN yaitaka Israel iondoe mzingiro wa kibaguzi Ukanda wa Gaza

    Aug 30, 2017 10:55

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mzingiro wa kibaguzi wa karibu muongo mmoja dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Wapalestina wa Gaza wasusia kula kuwaunga mkono wafungwa wa Kipalestina

    Wapalestina wa Gaza wasusia kula kuwaunga mkono wafungwa wa Kipalestina

    Apr 28, 2017 03:22

    Wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza wamesusia kula chakula ili kuonyesha uungaji mkono wao kwa wafungwa wa Kipalestina ambao wanadhalilishwa katika jela na magereza ya utawala haramu wa Israel.

  • Israel yafanya hujuma mpya za anga Ukanda wa Gaza

    Israel yafanya hujuma mpya za anga Ukanda wa Gaza

    Feb 28, 2017 04:22

    Jeshi la utawala katili wa Israel limefanya mashambulizi mapya ya anga katika Ukanda wa Gaza na kujeruhi watu kadhaa.

  • Hujuma ya anga ya Israel huko Gaza yaua, kujeruhi Wapalestina 7

    Hujuma ya anga ya Israel huko Gaza yaua, kujeruhi Wapalestina 7

    Feb 09, 2017 03:43

    Kwa akali Wapalestina wawili wameuawa shahidi huku wengine zaidi ya watano wakijeruhiwa baada ya ndege ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutekeleza hujuma ya anga katika mji wa Rafah, Ukanda wa Gaza, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Umaskini waongezeka sana Ukanda wa Ghaza

    Umaskini waongezeka sana Ukanda wa Ghaza

    Jan 08, 2017 10:13

    Kituo cha Haki za Binadamu cha Palestina kimetangaza habari ya kuongezeka umaskini kwa asilimia 65 katika eneo la Ukanda wa Ghaza kutokana na kuendelea kuzingirwa kiuchumi kikamilifu eneo hilo na utawala wa Kizayuni.

  • Hatua ya Israel ya kuuzuia ujumbe wa ICC kuingia Ukanda wa Gaza

    Hatua ya Israel ya kuuzuia ujumbe wa ICC kuingia Ukanda wa Gaza

    Oct 10, 2016 04:06

    Ujumbe kutoka ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) siku ya Jumamosi uliwasili katika ardhi za Palestina zilizovamiwa na kuanza kukaliwa kwa mabavu mwaka 1948 (Israel). Ujumbe huo umepangiwa kutembelea pia eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, lakini hautofika Ukanda wa Gaza baada ya Israel kuuzuia kufanya hivyo.

  • Israel yawateka nyara wanaharakati wanawake wakielekea Gaza

    Israel yawateka nyara wanaharakati wanawake wakielekea Gaza

    Oct 06, 2016 12:16

    Jeshi la majini la utawala wa Kizayuni wa Israel limewateka nyara wanaharakati wanawake wa Marekani akiwemo Ann Wright, mwanadiplomasia mashuhuri na mtetezi wa haki za binadamu, wakiwa kwenye boti wakielekea katika Ukanda wa Gaza.

  • Misri yafungua tena kivuko cha Rafah kwa muda

    Misri yafungua tena kivuko cha Rafah kwa muda

    Jun 29, 2016 09:12

    Misri imefungua tena kivuko cha Rafah, njia pekee inayotumiwa kufikishia misaada ya dharura kwa Wapalestina karibu milioni mbili walio chini ya mzingiro huko Ukanda Gaza tangu mwaka 2007 na kusema kuwa eneo hilo la mpakani litasalia wazi hadi Julai 4.