-
Russia: Malengo yetu Ukraine yataweza kufikiwa kwa operesheni za kijeshi tu
Mar 15, 2023 00:35Msemaji wa ofisi ya rais wa Russia amesema malengo ya nchi hiyo nchini Ukraine yanaweza kufikiwa kupitia operesheni za kijeshi tu.
-
Russia: Marekani ndiyo sababu kuu ya kurefuka vita nchini Ukraine
Mar 07, 2023 22:54Msemaji wa ofisi ya rais wa Russia amesema, Marekani ndiyo sababu kuu ya kurefuka vita vinavyoendelea nchini Ukraine.
-
Rais wa Baraza la Usalama UN akwepa kujibu suali kuhusu Palestina na Ukraine
Mar 03, 2023 04:14Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amekataa kujibu suali aliloulizwa kuhusu Palestina na Ukraine.
-
Maandamano dhidi ya vita katika nchi za Ulaya
Feb 27, 2023 08:14Sambamba na kuendelea vita nchini Ukraine na hali mbaya ya kiuchumi na kijamii katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi barani humo wamefanya maandamano katika nchi kadhaa wakipinga sera za nchi za Magharibi na kuingilia kati vita vya Ukraine.
-
Maelfu waandamana Italia, Ujerumani kupinga vita na kupewa silaha Ukraine
Feb 26, 2023 07:53Maelfu ya wananchi wa Italia wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kulalamikia vikwazo vya Magharibi dhidi ya Russia, huku vita vya Ukraine vikiingia mwaka wake wa pili.
-
Upinzani wa Magharibi dhidi ya mpango wa amani wa China kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Ukraine
Feb 25, 2023 22:54Rais Joe Biden wa Marekani ameeleza shaka yake kuhusu manufaa ya mpango wa China wa kumaliza vita na kutatua mgogoro wa Ukraine. Akijibu mpango wa China wa kumaliza vita na kutatua mgogoro wa Ukraine, Biden amesema kuwa mpango huo unainufaisha Russia pekee.
-
Musk amuanika mwanadiplomasia wa US anayechochea vita vya Ukraine
Feb 24, 2023 23:12Bilionea wa Kimarekani, Elon Musk, ambaye ni mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Twitter amemtuhumu mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani kuwa ndiye anayekoleza moto wa vita vya Ukraine.
-
Nebenzya: Nchi za Magharibi zimeazimia kikwelikweli kuiangamiza Russia
Feb 19, 2023 08:20Vasily Alekseyevich Nebenzya, Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, nchi za Magharibi zimeazimia kikwelikweli kuiangamiza nchi yake, hivyo Moscow haina chaguo jingine isipokuwa kujihami kwa ajili ya kulinda utambulisho na mustakbali wake.
-
Lukashenko: Belarus itaungana na Russia katika vita vya Ukraine ikishambuliwa
Feb 16, 2023 23:19Rais Alexander Lukashenko wa Belarus ameonya kuwa, iwapo nchi hiyo itashambuliwa, basi haitakuwa na budi kuungana na Russia katika vita dhidi ya Ukraine.
-
Katibu Mkuu wa UN: Dunia inaelekea katika vita vikubwa zaidi
Feb 07, 2023 02:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kwamba, hatua zozote za kuchochea mgogoro wa Russia na Ukraine huenda zikaitumbukiza dunia katika vita vipana na vikubwa zaidi.