Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Amnesty yataka kikosi cha MONUSCO Kongo DR kiongezewe majukumu

    Amnesty yataka kikosi cha MONUSCO Kongo DR kiongezewe majukumu

    Mar 28, 2017 22:26

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukiongezea majukumu Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (MONUSCO).

  • Ombi la UN kwa Iran, Russia, na Uturuki kuhusu Syria

    Ombi la UN kwa Iran, Russia, na Uturuki kuhusu Syria

    Mar 26, 2017 03:43

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria kwa mara nyingine tena amezitaka Iran, Russia na Uturuki kufanya juhudi za kulinda usitishaji vita huko Syria.

  • Kikosi cha kijeshi cha UN kuingia Sudan Kusini

    Kikosi cha kijeshi cha UN kuingia Sudan Kusini

    Mar 25, 2017 03:07

    Wanajeshi wa Umoja wa Mataifa wanatazamiwa kuingia Sudan Kusini katika kipindi cha chini ya mwezi moja.

  • UN: Kubomoa turathi za kiutamaduni ni jinai ya kivita

    UN: Kubomoa turathi za kiutamaduni ni jinai ya kivita

    Mar 25, 2017 02:06

    Baaraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Ijumaa lilipitisha azimio la kihistoria kulinda turathi za kiutamaduni duniani dhidi ya makundi ya kigaidi wakati wa vita.

  • UN yapasisha maazimio kuilaani Israel, kuiunga mkono Palestina

    UN yapasisha maazimio kuilaani Israel, kuiunga mkono Palestina

    Mar 25, 2017 01:58

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha maazimio manne ya kuliunga mkono taifa la Palestina na kuulaani utawala ghasibu wa Israel.

  • Syria: Saudia, Uturuki na Qatar zina mkono katika mapigano yanayojiri mashariki mwa Damascus

    Syria: Saudia, Uturuki na Qatar zina mkono katika mapigano yanayojiri mashariki mwa Damascus

    Mar 24, 2017 00:03

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesema Saudi Arabia, Uturuki na Qatar zinahusika katika kukoleza moto wa mapigano yanayoendelea katika viunga vya mji mkuu wa nchi hiyo Damascus baina ya vikosi vya serikali na makundi ya kigaidi ya ukufurishaji yanayofadhiliwa na madola ya kigeni.

  • Kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni na kutojali kwake ripoti za Umoja wa Mataifa

    Kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni na kutojali kwake ripoti za Umoja wa Mataifa

    Mar 22, 2017 11:58

    Katika hali ambayo jinai na sera za kujipanua za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina zinakabiliwa na malalamiko na upinzani wa walimwengu pamoja na jumuiya za kimataifa, utawala huo dhalimu umeamua kushadidisha mashambulio yake dhidi ya wananchi hao madhulumu.

  • Sherehe ya Nowruz yafanyika katika Umoja wa Mataifa

    Sherehe ya Nowruz yafanyika katika Umoja wa Mataifa

    Mar 22, 2017 03:22

    Sherehe ya kuadhimisha sikukuu ya Nowruz imefanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu wa umoja huo.

  • Saudia yaitaka UN isimamie bandari ya Yemen baada ya kuua kikatili Wasomali 44

    Saudia yaitaka UN isimamie bandari ya Yemen baada ya kuua kikatili Wasomali 44

    Mar 20, 2017 04:31

    Muungano vamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia nchini Yemen umeutaka Umoja wa Mataifa uchukue udhibiti wa bandari ya Hudaydah baada ya helikopta ya Aal-Saud aina ya Apache kufanya shambulio la kikatili dhidi ya boti ya wakimbizi karibu na Lango Bahari la Bab al-Mandab, pwani ya Yemen na kuua makumi ya raia wa Somalia.

  • Ladsous: Hali ya usalama nchini Mali inatia wasiwasi

    Ladsous: Hali ya usalama nchini Mali inatia wasiwasi

    Mar 19, 2017 23:32

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Anayehusika na Oparesheni za Kudumisha Amani za huo amesema kuwa hali ya usalama nchini humo inatia wasiwasi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS