-
PLO yaikosoa UN kwa kushinikiza kufutwa ripoti dhidi ya Israel
Mar 19, 2017 03:58Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imekosoa vikali hatua ya Umoja wa Mataifa kuagiza kufutwa ripoti ya Kamati ya Kiuchumi na Kijamii ya Asia Magharibi katika Umoja wa Mataifa (ESCWA) kuhusu siasa za ubaguzi za Israel.
-
Guterres aamuru kufutwa ripoti ya Apartheid kuhusu Israel
Mar 17, 2017 12:53Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameamuru kufutwa ripoti ya ESCWA kuhusu siasa za ubaguzi za utawala haramu wa Israel. Hatua hiyo ya Antonio Guterres imechukuliwa kutokana na mashinikizo ya waitifaki wa utawala huo ghasibu.
-
Hali ya kibinadamu Jamhuri ya Afrika ya Kati yazidi kuwa mbaya
Mar 16, 2017 11:24Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa kuongezeka machafuko na mivutano huko Jamhuri ya Afrika ya Kati kumeifanya hali ya kibinadamu nchini humo kuwa mbaya tangu mwezi Septemba mwaka jana.
-
UN: S/Kusini, AU zakwamisha kubuniwa mahakama ya haki za binadamu
Mar 15, 2017 03:44Umoja wa Mataifa umeilaumu serikali ya Juba na Umoja wa Afrika (AU) kuwa zinakwamisha juhudi za kubuniwa mahakama ya kuwapandisha kizimbani wavunjaji wa haki za binadamu nchini Sudan Kusini.
-
Wanawake Yemen waandamana nje ya ofisi za UN kulaani jinai za Saudia
Mar 15, 2017 03:29Wanawake wa Yemen wamefanya maandamano na kukita kambi nje ya ofisi za Umoja wa Mataifa katika mji mkuu Sana’a, kuutaka umoja huo usitishe jinai na uvamizi wa Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo.
-
UN yataka kutumwa askari wengine wa kimataifa DRC
Mar 11, 2017 00:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo kutuma askari wengine 320 wa kofia buluu huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
-
UN: Mgogoro wa kisiasa na hali ya kibinadamu Burundi vinatia wasi wasi
Mar 10, 2017 23:05Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya kibinadamu na mgogoro wa kisiasa nchini Burundi na kutadharisha kuwa mambo yanazidi kuwa mabaya katika nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Safari ya ujumbe wa Baraza la Usalama Barani Afrika
Mar 06, 2017 10:27Wanachama 15 wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wameanza safari ya kuzitembelea nchi nne za eneo la Ziwa Chad. Safari hiyo inafanyika huku eneo hilo likisumbuliwa na changamoto kubwa ya ugaidi na tatizo la wimbi kubwa la wakimbizi.
-
UN: Mazungumzo juu ya Syria huko Geneva, yametoa ajenda iliyo wazi
Mar 04, 2017 03:56Umoja wa Mataifa umepongeza duru ya hivi punde ya mazungumzo ya amani ya Syria iliyomalizika jana Ijumaa mjini Geneva nchini Uswisi.
-
UN: Tutashirikiana na Gambia kuwashughulikia waliotenda jinai enzi za utawala wa Jammeh
Mar 02, 2017 04:22Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, uko tayari kushirikiana na serikali mpya ya Gambia katika masuala ya kimahakama na haki za binadamu.